Gay Muslims on the Rise

Gay Muslims on the Rise

Status
Not open for further replies.
sio huyo mmoja,ni general

mfano kuzuia wanawake kwenye events ambazo culture nyingine hawazuii

pia hata language ya kiarabu ina utajiri wa maneno yanayohuu gays na gay clture in generall

hata kiswahili maneno yote yanahoyusu gays yametoka kwa waarabu

Hapo kwenye Red sidhani kama ni justification enough. Lugha kuwa na maneno mengi pia sio msingi mzuri wa kubase analysis yako hasa ukilinganisha na kiswahili. Kiarabu ni lugha kongwe iliyokuwepo tangu enzi za ancient world ambapo kuwa bisexual ilikuwa ni okay to some extent (hata Alexandra the Great anaaminika kuwa alikuwa bisexual pamoja na watu maarufu wengi wa ancient world)

Boss kweli naona logic kwenye argument yako.
Hii ya kutenganisha wanawake na wanaume imekaa kama magereza au jail hivi. Ndio maana na huko haya mambo yapo sana. Nasikia ukishaanza huachi.
Naona ni kibiologia sana na wanaume kutokuwa na uvumilivu kama wanawake. Mwanaume naona ni virahisi kutafuta sehemu ya ku-release.

Yes, ancient world haya mambo yalikuwa yanakubalika sana. Na ukiangalia hizo communities, ni zile zilizokuwa zinatengana na wanawake hata wakati ule. Mfano, the Spartans. Wao hadi ilikuwa maajabu ukiwa na uhusiano na mwanamke. Walikuwa ni powerful warriors and trained to die for one another if necessary. Na tendo la wao kuwa na relationship na warriors wenzao, ilikuwa ina create a bond that if an enemy kills your lover, you will fight back with vengeance.
Soma historia ya Spartans for more details.

Nikipata Mtoto wa kiume, simpeleki boys only boarding school hata iweje.

Boss kweli naona logic kwenye argument yako.
Hii ya kutenganisha wanawake na wanaume imekaa kama magereza au jail hivi. Ndio maana na huko haya mambo yapo sana. Nasikia ukishaanza huachi.
Naona ni kibiologia sana na wanaume kutokuwa na uvumilivu kama wanawake. Mwanaume naona ni virahisi kutafuta sehemu ya ku-release.

vipi kuhusu shule za seminary!... mi nafikiri katika dini kuna logic fulani..!

ndio maana shule za semanary iwe za kikristu ama waislam.. hawa mix pamoja wanawake na wanaume... kama ikitokea basi wanawake watawekwa katika distance na wanaume! ...

i think it has something to do na iman ya kidini... pale mnapomix labda hamtokuwa serious na jambo/ issue au event husika.

it has nothing to do na gaysh!

Hapo kwenye Red sidhani kama ni justification enough. Lugha kuwa na maneno mengi pia sio msingi mzuri wa kubase analysis yako hasa ukilinganisha na kiswahili. Kiarabu ni lugha kongwe iliyokuwepo tangu enzi za ancient world ambapo kuwa bisexual ilikuwa ni okay to some extent (hata Alexandra the Great anaaminika kuwa alikuwa bisexual pamoja na watu maarufu wengi wa ancient world)

sasa huoni kuwa umejijibu mwenyewe hapo?
kwamba arabic culture ni culture ya zamani mno
na yapo mambo wamerithi toka enzi na enzi
wewe unasema lugha,mimi nasema pamoja na homosexual culture pia

Mkuu Boss
Kwa maana hiyo ina maana kuna shida hapa kati ya waumini kutenganisha Uislam v/s arabic culture?
Mfano, inakuwaje kuna baadhi ya nchi za kiislamu ambapo wanawake wanaruhusiwa kwenda makaburini wakati wa mazishi?
Inakuwaje baadhi ya nchi hizo hizo watu henda msikitini kupiga swala bila kuvaa kanzu?

Wewe unasema kuwa wamerithi homosexual culture kwa kutumia ushahidi gani? Au ni kwa sababu ni culture kongwe na zamani kulikuwa na homosexuality kwa hiyo lazima na wao walirithi? Apart from that una ushahidi mwengine?

While my analysis shows the possibility of homosexuality culture to the Greeks, Romans, Persians, and others of the ancient world, we didn't infer that from your analysis. Did you mean to say homosexuality is accepted in Arabic culture as all those other ancient cultures or specifically to the Arabs?

mkuu
kuna mambo mengi mno siyo islamic but huwezi kujua
mpaka mtu aelimishwe mfano kuvaa ninja nyeusi kwa wanawake
ndo maana ufaransa walipiga ban na mufti wa ufaransa akaunga mkono

Wewe unasema kuwa wamerithi homosexual culture kwa kutumia ushahidi gani? Au ni kwa sababu ni culture kongwe na zamani kulikuwa na homosexuality kwa hiyo lazima na wao walirithi? Apart from that una ushahidi mwengine?

While my analysis shows the possibility of homosexuality culture to the Greeks, Romans, Persians, and others of the ancient world, we didn't infer that from your analysis. Did you mean to say homosexuality is accepted in Arabic culture as all those other ancient cultures or specifically to the Arabs?

gaijini unauliza na kujijibu mwenyewe....
nilichosema ni kuwa homosexuality ni part ya arab culture
sasa kama walirithi kama greeks au la hilo ni issue nyingine
fact hapa ni kuwa iko kwenye culture yao

Na suala linabaki pale pale umejuaje? Una ushahidi gani?

vipi kuhusu shule za seminary!... mi nafikiri katika dini kuna logic fulani..!

ndio maana shule za semanary iwe za kikristu ama waislam.. hawa mix pamoja wanawake na wanaume... kama ikitokea basi wanawake watawekwa katika distance na wanaume! ...

i think it has something to do na iman ya kidini... pale mnapomix labda hamtokuwa serious na jambo/ issue au event husika.

it has nothing to do na gaysh!

Well, sidhani kama ni dini but ni kukosa uvumilivu tu kwa wanaume.

Wewe unasema kuwa wamerithi homosexual culture kwa kutumia ushahidi gani? Au ni kwa sababu ni culture kongwe na zamani kulikuwa na homosexuality kwa hiyo lazima na wao walirithi? Apart from that una ushahidi mwengine?

While my analysis shows the possibility of homosexuality culture to the Greeks, Romans, Persians, and others of the ancient world, we didn't infer that from your analysis. Did you mean to say homosexuality is accepted in Arabic culture as all those other ancient cultures or specifically to the Arabs?

Gaijin,

The Arab culture is almost as ancient as the Greeks, Persians, etc.

Mkuu Boss

Kwa maana hiyo ina maana kuna shida hapa kati ya waumini kutenganisha Uislam v/s arabic culture?

Mfano, inakuwaje kuna baadhi ya nchi za kiislamu ambapo wanawake wanaruhusiwa kwenda makaburini wakati wa mazishi?

Inakuwaje baadhi ya nchi hizo hizo watu henda msikitini kupiga swala bila kuvaa kanzu?

Uislamu sio Uarabu. This often confuse a lot of people. Kuna waislamu wasio warabu na warabu wasio waislamu.
Ni sawa na watu wa nje wanapo confuse Umaskini na Uafrika.

Gaijin,

The Arab culture is almost as ancient as the Greeks, Persians, etc.

That I know.

Shida yangu ni kuwa Boss ameshindwa kutetea hoja......:]

Historically Sodom and Gomora was in modern day Syria/Palestina. So from way way back, Homosexuality ilikuwepo kwenye hizo ancient cultures.

Lakini tunachojadili ni kwenye culture ya sasa hali ikoje?

Kwa mujibu wa Biblia hili jambo ni laana,hakuna uhalali wa aina yoyote hapo au iwe kwa njia yoyote,sijui kwa upande wa imani nyingine!

So sorry 4 this guy I dnt kno how much he feels the rythm of being screwed. The guy is just fighting the unknown to the extent that he is against the book of God (qoran). oooh LORD have mercy

That I know.

Shida yangu ni kuwa Boss ameshindwa kutetea hoja......:]

Historically Sodom and Gomora was in modern day Syria/Palestina. So from way way back, Homosexuality ilikuwepo kwenye hizo ancient cultures.

Lakini tunachojadili ni kwenye culture ya sasa hali ikoje?

Sijui kama waliacha. I imagine huko Saudi, Iran, Afghanistan ni kama a free jail hivi. Just men everywhere, no women to be seen. Wakiwakamata wanawanyonga lakini bado tu wengine hawaachi.

so kaka.. u do not erect? au.. on the other hand thats insulting...em

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom