Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
sio huyo mmoja,ni general
mfano kuzuia wanawake kwenye events ambazo culture nyingine hawazuii
pia hata language ya kiarabu ina utajiri wa maneno yanayohuu gays na gay clture in generall
hata kiswahili maneno yote yanahoyusu gays yametoka kwa waarabu
Hapo kwenye Red sidhani kama ni justification enough. Lugha kuwa na maneno mengi pia sio msingi mzuri wa kubase analysis yako hasa ukilinganisha na kiswahili. Kiarabu ni lugha kongwe iliyokuwepo tangu enzi za ancient world ambapo kuwa bisexual ilikuwa ni okay to some extent (hata Alexandra the Great anaaminika kuwa alikuwa bisexual pamoja na watu maarufu wengi wa ancient world)