Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Namjibia japo mwenyewe hua hapendi kujibiwa, lol,
Coca ni MWANAMKE tena pisi kali haswaaaa, kama alijinasibu yeye ni mtu wa alphabet (LGBT) basi jua yupo kwenye herufi moja wapo katika hizo lakini sio G kiufupi yeye sio Gay ni mwanamke, naimani jibu ushalipata utawaambia na wengine
Ahsantee mahi. 😘😘
 
Eti pisi kali haswaa, huyo ni dume la mbegu
 
Inaonesha kuna jambo alikufanyia sio kwa uhakika huo, pole lakini itakua ni lile dildo lake la inch 9
Wewe ni endelea kumsapoti hilo dume ila ngoja nikwambie unavyotukana usidhani wengine hatuwezi tena kwenye matusi ni wabaya kupita maelezo lakini humu ndani naamini hii ni jamii inayojitambua ndo maana tunakausha
 
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.

Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.

Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.

Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew

Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂

Nachoka kwa kweli, woiiiih.

View attachment 3682523

Asa ilo jinga pembeni linajiliza nini ama lilikuwa limepania kupiga makachu
 
Anajiliza wamezuiwa kuingia zenji, akati yeye alipania kumfurahisha bwana ake siku ya b'day yake.

Nachoka huyo bwana mwenyewe km yeye tu. Aloooh
😂😂😂
 
Wewe ni endelea kumsapoti hilo dume ila ngoja nikwambie unavyotukana usidhani wengine hatuwezi tena kwenye matusi ni wabaya kupita maelezo lakini humu ndani naamini hii ni jamii inayojitambua ndo maana tunakausha
Oouch somebody is crying, pole katoto kwa kuumizwa hisia zako eeeh, haya kunywa maji upumzike
 
Back
Top Bottom