Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar


Pumabav kabisa. we jamaa bure kabisa
 
Kwahiyo hiyo couple haitegemei kupata watoto maana hakuna mwenye tumbo la kubeba mimba hapoπŸ™Œ

Hata kama ningekuwa Mimi Rais wa Zanzibar nisingeruhusu Gays couple kuingia Nchini kwangu
 
Eti hatakaa arudi Zanzibar....

Kwani nani kamuomba arudi ??? Logic za Mwafrika huwa ni mbovu.
 
Chiwawa em hangaika na maisha yako ya tabu, hadi unakua omba omba humu JF.

aibu usiwe nayo wewe omba omba, ndio niwe nayo mie nayetumia mwili wangu? Uko sawa wewe?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona umekazania hilo?

Nimesema ukweli kuwa leo najihakikishia ukweli kuwa kumbe wewe ni punga alafu unaanza kusema mimi omba omba?

Ni lini nimesha wahi kuomba mtu hela humu?

Nilikuwa nadhani wanakusingizia kumbe ni kweli wewe ni punga?
 
Kwahiyo hiyo couple haitegemei kupata watoto maana hakuna mwenye tumbo la kubeba mimba hapoπŸ™Œ

Hata kama ningekuwa Mimi Rais wa Zanzibar nisingeruhusu Gays couple kuingia Nchini kwangu
Gran pah wewe akili yako yote unawaza watoto tu? Aliyekuambia kila mtu anataka watoto nani? Au hao mume na mke wote huwa wana watoto? Au wanazaa kwa njia ya kawaida?

Km unapinga mapenzi ya jinsia 1 , pinga kwa hoja na fact, sio hizi blah blah, em wakilisha taaluma yako vizuri, sitegemei kuona na wewe uwe km ambao hawakwenda darasani, japo Elimu ya kukariri tu.

Unaniangushaaa!!
 
Mbona umekazania hilo?

Nimesema ukweli kuwa leo najihakikishia ukweli kuwa kumbe wewe ni punga alafu unaanza kusema mimi omba omba?

Ni lini nimesha wahi kuomba mtu hela humu?

Nilikuwa nadhani wanakusingizia kumbe ni kweli wewe ni punga?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umechelewa kujua hilo? Poleee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…