Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Najua utakuja na filosofia zako kama kawaida, ulichoshindwa ni kusema orientation yako, na kuweka wazi jinsia yako. Hata kama hivyo sio vigezo vya kujiunga jf, as a family walau tunaambiana jinsia zetu.

Jf ni familia kubwa sana..
Usipangie watu Maisha Mkali.
Get bize Mzee
 
Wawe na shukran wamezuiliwa kabla hawajaingia wangefika na ikabainika wanalawitiana wangekaa jela waheshimu sheria za nchi japo zenji mapunga ni wengi kuliko binadamu wa kawaida angalau wameonyesha wapo na mamba
 
Usipangie watu Maisha Mkali.
Get bize Mzee
Sema nilipokupangia maisha, ukijiamini utasema lolote bila kujali. Kama wewe pia ni gay unasema tu, usijifichefiche.
 
Ndyo kuna mume anasimaka km Top, na mke anasimama km bottom,

Labda hawa ni versatile, wanakulana zamu zamu, kukoboanaa woiiiiih.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakini yupo sahihi, kwenye mapenzi ya jinsia moja hakuna mke na mume ila kuna mke na mke au mume na mume unless katika hao kuwe kuna Transgender, hapo ndio kutakua na mke na mume
 
Lakini yupo sahihi, kwenye mapenzi ya jinsia moja hakuna mke na mume ila kuna mke na mke au mume na mume unless katika hao kuwe kuna Transgender, hapo ndio kutakua na mke na mume
Najua, nazungumzia Roles mahi.
 
Katika vitu cocastic ameshindwa ni kudeclare wazi kwamba yeye ni shoga, kwamba yeye ni wa kiume, kwamba yeye ni mwanamke! Ameshindwa kuwa wazi.
Namjibia japo mwenyewe hua hapendi kujibiwa, lol,
Coca ni MWANAMKE tena pisi kali haswaaaa, kama alijinasibu yeye ni mtu wa alphabet (LGBT) basi jua yupo kwenye herufi moja wapo katika hizo lakini sio G kiufupi yeye sio Gay ni mwanamke, naimani jibu ushalipata utawaambia na wengine
 

Wameogopa wataenda kuchafua mashuka Zanzibar? Wakati wanao wa kutosha hawahitaji wengine zaidi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Daah dunia imebadilika,watoto wana wakati mgumu sana,mimi nikiona mwanaume amekuwa shoga najisikia vibaya.
 
Assnte mkuu!!πŸ™
 
Wameogopa wataenda kuchafua mashuka Zanzibar? Wakati wanao wa kutosha hawahitaji wengine zaidi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…