Mimi na Webabu tunamuita "Netapaka"!HAMAS mnataka vita? Basi nitawapatia vita- Binyamini Netanyahu.
Mkituzidi nguvu tunajitoa muhanga.Tumejifunga mabomu hadi kwenye mapaja.Mazayuni wakubwa ninyi!Safari hii Mtanyooka tu!!
Mtoto kautakaHAMAS mnataka vita? Basi nitawapatia vita- Binyamini Netanyahu.
Mkituzidi nguvu tunajitoa muhanga.Tumejifunga mabomu hadi kwenye mapaja.Mazayuni wakubwa ninyi!
Wameharibu middle east yote, Lebanon na Syria zilikuwa ni tourist destination za matajiri wa kiarabu na wa magharibi, Islamic fundamentalists hwakupenda mtindo wa maisha ya kisasa, sasa wamerudi nyuma kwa zaidi ya miongo 50Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na uovu wa kutosha walifanya mashambulizi ambayo yalibadilisha kila kitu huko Gaza!!!
Sasa hivi Gaza ishakuwa Magofu kabisa!!
View attachment 3305167