Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES

Hadi leo wanaitwa watumwa.

Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.
 
wana mud wana matatizo sana. wenyewe wanasema kule kwao afadhali wawe na shekhe mlevi kuliko kuwa na shekhe mweusi. Wao wana mbagua mweusi waziwazi bila chenga.
upande wa magharibi wana mbagua mweusi kimaarifa hivi. wanatumia sera na sheria zilizowekwa kwa uangalifu mkubwa, hivi kwamba mhusika hawezi kujua kirahisi. licha ya kwamba wote ni wabaya lakini waislam na waarabu kwa ujumla ni wabaya zaidi
 
Wafuasi wa mud ubaguzi kwao ni chanda na pete.
Haijalishi ni mwarab au mmatumbi.
Chembechembe za ubaguzi huu zimemea na kukita mizizi kiasi kwamba wao kwa wao wanabagua hata kimadhehebu.
Mara utasikia mshia kamchinja au kajitoa muhanga na kujilipua kwenye msikiti wa wasuni.

Halafu acha tu sisi ngozi nyeusi tubaguliwe maana tumezidi sana kuwatukuza na kujipendekeza kwa weupe.
 
Mwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.

Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.
 
Naungana na wewe asilimia mia 800
 
Kama Mwarabu akifanya kosa unasema ni Waislam inaonekana una matatizo ya Afya ya Akili kwani Waislam hawafuati waarabu bali wanafuata mafundisho ya Quran.
-Jua kutofautisha Waarabu na Waislam au niseme
-Jua pia kutofautisha; Waisrael alikotokea Yesu na Wakristo (Kosa la Waisrael haliwezi kuwa la Wakristo wote)
-Ujerumani kuna miji nilielekezwa na wenyeji kuwa mtu mweusi asitembee peke yake unaweza kupotezwa....
 
Ni kweli kwani mzungu hata mchungaji mwisho humuoa mtu mweusi.

Google-Ergebnis für https://www.telegraph.co.uk/multimedia/archive/01700/vicar_1700537c.jpg
 
Mwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.

Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.
hii nikwel mkuu, mzungu yupo poa sana
anafatia mchina
Anakuja mhindi
Wa mwisho mwarabu anaroho mbaya atari
 
Mwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.

Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.

Yeye mzungu shida yake ni moja tu, anataka uendelee lakini usimfikie, na ukimzidi ndiyo balaa
 
Kama Mwarabu akifanya kosa unasema ni Waislam inaonekana una matatizo ya Afya ya Akili kwani Waislam hawafuati waarabu bali wanafuata mafundisho ya Quran.
-Jua kutofautisha Waarabu na Waislam au niseme
-Jua pia kutofautisha; Waisrael alikotokea Yesu na Wakristo (Kosa la Waisrael haliwezi kuwa la Wakristo wote)
-Ujerumani kuna miji nilielekezwa na wenyeji kuwa mtu mweusi asitembee peke yake unaweza kupotezwa....

Shida ya waarabu ni moja, wanashinikiza wenzao wawe waislam. halafu wenyewe hawafuati uislam. wanadhan ukiwa ukiwa uislam jina inatosha. kumbe huo ni unafiki. pia usipokuwa muislam unanyanyapaliwa, hawakuoni mtu timamu usipokuwa muislam.
wenyewe hawataki kutenganisha uislam na uarabu, yaani ni kama vile ccm na dora. waarab wanaona ili uwe muislam lazima uwe unafuata desturi, mila na tamaduni za kiislam. ndiyo maana mi binafsi nauliza kwa nini hamuimbi au hamuiti adhana kwa lugha zenu za asili, hamna wanachoweza kukujibu
 
Usilolijua ni usiku wa Giza, mtoa adhana WA kwanza aliitwa Bilali. Alikua mtu mweusi.
Huyo Bilali amesaidia nini katika heshima ya mtu mweusi kidini.

Nenda Sudan uone weusi wanavyochinjwa na waarabu,hata kama ni waislam.
 
Shida ya waarabu ni moja, wanashinikiza wenzao wawe waislam. halafu wenyewe hawafuati uislam. wanadhan ukiwa ukiwa uislam jina inatosha. kumbe huo ni unafiki. pia usipokuwa muislam unanyanyapaliwa, hawakuoni mtu timamu usipokuwa muislam.
wenyewe hawataki kutenganisha uislam na uarabu, yaani ni kama vile ccm na dora. waarab wanaona ili uwe muislam lazima uwe unafuata desturi, mila na tamaduni za kiislam. ndiyo maana mi binafsi nauliza kwa nini hamuimbi au hamuiti adhana kwa lugha zenu za asili, hamna wanachoweza kukujibu

Hebu nenda Israel ujaribu kutangaza Injili ya Yesu uone moto wake; Pale wanataka kila mtu awe mjewish.
Ni rahisi kutangaza Injili Saudi Arabia, kuliko kutangaza Injili Israel.
Nafikiri sio waarabu pekee; Ukienda Nchi ya kiarabu ishi kama waarabu na ukienda Nchi ya Israel, ishi kama waisrael. Unataka kupeleka tamaduni zako kwa Nchi za watu?
 
Mbona basi waarabu wanauwa waafrica na kulazimisha uislam kwa nguvu???

Au wanaenda ulaya na USA na kulazimisha kutambuliwa dini yao na kufunga Barabara waswali.
 
Hebu nenda Israel ujaribu kutangaza Injili ya Yesu uone moto wake; Pale wanataka kila mtu awe mjewish.
Ni rahisi kutangaza Injili Saudi Arabia, kuliko kutangaza Injili Israel.
Nafikiri sio waarabu pekee; Ukienda Nchi ya kiarabu ishi kama waarabu na ukienda Nchi ya Israel, ishi kama waisrael. Unataka kupeleka tamaduni zako kwa Nchi za watu?

Katika watu wasumbufu duniani, hawa pia ni miongoni mwao. Kidogo hawa sina bifu nao sana kwa sababu hawajaeneza itikadi zao nje ya mipaka yao. pia hawalazimishi watu wa nje ya mipaka yao kuongea lugha na kuamini dini na tamaduni zao
 
Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES

Hadi leo wanaitwa watumwa.

Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.
Mkiambiwa muwapokee waje waishi Tanzania. Mtakuwa tayari?
 
Back
Top Bottom