Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES

Hadi leo wanaitwa watumwa.

Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.
Lakini hao wagaza weusi sio wafuasi wa Hamas.
 
Watu weusi tunabaguliwa na kuonekana tabaka la chini Dunia nzima, huko Marekani unakosema mleta mada ndio makao makuu ya ubaguzi. Lakini kama hujakutana nae ubaguzi direct ndio utakuja na mada kama hizi hapa JF
 
Back
Top Bottom