Naungana na wewe asilimia mia 800Mwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.
Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.
Usilolijua ni usiku wa Giza, mtoa adhana WA kwanza aliitwa Bilali. Alikua mtu mweusi.
wana mud wana matatizo sana. wenyewe wanasema kule kwao afadhali wawe na shekhe mlevi kuliko kuwa na shekhe mweusi. Wao wana mbagua mweusi waziwazi bila chenga.
upande wa magharibi wana mbagua mweusi kimaarifa hivi. wanatumia sera na sheria zilizowekwa kwa uangalifu mkubwa, hivi kwamba mhusika hawezi kujua kirahisi. licha ya kwamba wote ni wabaya lakini waislam na waarabu kwa ujumla ni wabaya zaidi
Wafuasi wa mud ubaguzi kwao ni chanda na pete.
Haijalishi ni mwarab au mmatumbi.
Chembechembe za ubaguzi huu zimemea na kukita mizizi kiasi kwamba wao kwa wao wanabagua hata kimadhehebu.
Mara utasikia mshia kamchinja au kajitoa muhanga na kujilipua kwenye msikiti wa wasuni.
Halafu acha tu sisi ngozi nyeusi tubaguliwe maana tumezidi sana kuwatukuza na kujipendekeza kwa weupe.
hii nikwel mkuu, mzungu yupo poa sanaMwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.
Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.
Mwafrika aliyewahi kufanya kazi kwa Mzungu na Mwarabu anajua kati ya hao wawili, bora ufanye kazi chini ya Mzungu.
Kama huamini, fatilia hapa nchini mishahara (na maslahi mengine) wanayolipa Wazungu,Waarabu,Wahindi na Wachina. Utagundua Mzungu ni mtu sana.
Kama Mwarabu akifanya kosa unasema ni Waislam inaonekana una matatizo ya Afya ya Akili kwani Waislam hawafuati waarabu bali wanafuata mafundisho ya Quran.
-Jua kutofautisha Waarabu na Waislam au niseme
-Jua pia kutofautisha; Waisrael alikotokea Yesu na Wakristo (Kosa la Waisrael haliwezi kuwa la Wakristo wote)
-Ujerumani kuna miji nilielekezwa na wenyeji kuwa mtu mweusi asitembee peke yake unaweza kupotezwa....
Huyo Bilali amesaidia nini katika heshima ya mtu mweusi kidini.Usilolijua ni usiku wa Giza, mtoa adhana WA kwanza aliitwa Bilali. Alikua mtu mweusi.
Shida ya waarabu ni moja, wanashinikiza wenzao wawe waislam. halafu wenyewe hawafuati uislam. wanadhan ukiwa ukiwa uislam jina inatosha. kumbe huo ni unafiki. pia usipokuwa muislam unanyanyapaliwa, hawakuoni mtu timamu usipokuwa muislam.
wenyewe hawataki kutenganisha uislam na uarabu, yaani ni kama vile ccm na dora. waarab wanaona ili uwe muislam lazima uwe unafuata desturi, mila na tamaduni za kiislam. ndiyo maana mi binafsi nauliza kwa nini hamuimbi au hamuiti adhana kwa lugha zenu za asili, hamna wanachoweza kukujibu
Mbona basi waarabu wanauwa waafrica na kulazimisha uislam kwa nguvu???Hebu nenda Israel ujaribu kutangaza Injili ya Yesu uone moto wake; Pale wanataka kila mtu awe mjewish.
Ni rahisi kutangaza Injili Saudi Arabia, kuliko kutangaza Injili Israel.
Nafikiri sio waarabu pekee; Ukienda Nchi ya kiarabu ishi kama waarabu na ukienda Nchi ya Israel, ishi kama waisrael. Unataka kupeleka tamaduni zako kwa Nchi za watu?
Hebu nenda Israel ujaribu kutangaza Injili ya Yesu uone moto wake; Pale wanataka kila mtu awe mjewish.
Ni rahisi kutangaza Injili Saudi Arabia, kuliko kutangaza Injili Israel.
Nafikiri sio waarabu pekee; Ukienda Nchi ya kiarabu ishi kama waarabu na ukienda Nchi ya Israel, ishi kama waisrael. Unataka kupeleka tamaduni zako kwa Nchi za watu?
Mkiambiwa muwapokee waje waishi Tanzania. Mtakuwa tayari?Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES
Hadi leo wanaitwa watumwa.
Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.