Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

Lakini hao wagaza weusi sio wafuasi wa Hamas.
 
Watu weusi tunabaguliwa na kuonekana tabaka la chini Dunia nzima, huko Marekani unakosema mleta mada ndio makao makuu ya ubaguzi. Lakini kama hujakutana nae ubaguzi direct ndio utakuja na mada kama hizi hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ