Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Kisasi cha oktoba 7 kilianzia 1947 ambapo janga lake ni kuwa wako waliouliwa na wengi waliingia mtego wa kukimbia kwenda nje.Kuwepo Watu ktk familia na ukoo ni sehemu ya furaha wa mwanadamu ikatokea vita kama hiyo ya gaza 60% ya watu hao kufa wanaobaki hawawezi ona thamani ya maisha,watakachokiona ni heli nao waondoke wakaungane nao waliotangulia tusitegee vita vya ardhi kuisha ktk Israel na kitakachotokea ni Israel kurudi nyuma watapike ardhi waliyoila,wasifikiri watashinda ila muda ni mwalimu
Hawa Hamas wamesoma historia kutoka kwa wazazi na mababu zao.
Sasa fikiria kizazi cha sasa ambao wameamua kutokimbia na tena wako kwa mamilioni na wameshuhudia wenyewe wanavyokufa wenzao na njaa na kiu vinavyowatesa na anayewafanyia hivyo wanamjua.
Ilikisiwa ikiwa Israel wanataka kuitawala Gaza itabidi kuwepo na askari mmoja kwa kila wapalestina 10.Ni hesabu ambayo haiwezekani.
Lazima waondoke na wapalestina watajitawala wenyewe.