Gaza ni mzigo uliojitwisha Israel na haiwezi kuutua, kilichobaki ni kuhangaika nao

Kisasi cha oktoba 7 kilianzia 1947 ambapo janga lake ni kuwa wako waliouliwa na wengi waliingia mtego wa kukimbia kwenda nje.
Hawa Hamas wamesoma historia kutoka kwa wazazi na mababu zao.
Sasa fikiria kizazi cha sasa ambao wameamua kutokimbia na tena wako kwa mamilioni na wameshuhudia wenyewe wanavyokufa wenzao na njaa na kiu vinavyowatesa na anayewafanyia hivyo wanamjua.
Ilikisiwa ikiwa Israel wanataka kuitawala Gaza itabidi kuwepo na askari mmoja kwa kila wapalestina 10.Ni hesabu ambayo haiwezekani.
Lazima waondoke na wapalestina watajitawala wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…