Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

Gaza si sehemu salama kuishi tupeleke Libya-Waandamanaji huko Gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi





 
Waarabu walivyo wanafiki watakataa kuwapokea waarabu wenzao kutoka Gaza huku kila siku wakijifanya wanailaani Israel.Israel inawajali Wapalestina kuliko Waarabu wenzao .Wapelestina wakiacha ugaidi,Israel itaishi nao vizuri.Rejea huduma zote muhimu kwenda Gaza na Ukingo wa Magharibi,kama chakula,maji,umeme ,nafasi za kazi n.k zinatokea Israel !
 
Back
Top Bottom