Gaza: Uso kwa uso na machampioni wa Demokrasia na Haki za Binadamu

Gaza: Uso kwa uso na machampioni wa Demokrasia na Haki za Binadamu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi:



Clip hii inajieleza.

Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi?

Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile.

Kumbe nani wa kumwambia nani, nini, wapi?

Dunia - uwanja wa fujo ..
 
Back
Top Bottom