B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 28, 2023 #1 Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi: Your browser is not able to display this video. Clip hii inajieleza. Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi? Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile. Kumbe nani wa kumwambia nani, nini, wapi? Dunia - uwanja wa fujo ..
Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi: Your browser is not able to display this video. Clip hii inajieleza. Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi? Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile. Kumbe nani wa kumwambia nani, nini, wapi? Dunia - uwanja wa fujo ..