Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

Yaani tumerudi kwenye utawala ule wa GIZA wa Awamu ya 5
1.Dhibiti vyombo vyote vya habari
2.Anzisha magazeti UCHWARA ya kusifia kila kitu toka kwa watawala
3.Kamata na tishia wote wanaoihoji na kuisumbua Serikali
4.Ingilia Mihimili mingine ya DOLA
...Mama umepatwa na NINI?
 
Uhuru na Mzalendo(hili sijui kama bado lipo)
Nakumbuka wakati nasoma chuo kikuu pale Mlimani miaka hiyo, haya magazeti ndiyo yalikuwa hayanunuliki kabisa. Hivi sijui siku hizi kama bado yapo. Maana yatakuwa yanazalisha hasara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…