Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huwa wanazilazimisha baadhi ya ofisi zinunue kwa lazimaNakumbuka wakati nasoma chuo kikuu pale Mlimani miaka hiyo, haya magazeti ndiyo yalikuwa hayanunuliki kabisa. Hivi sijui siku hizi kama bado yapo. Maana yatakuwa yanazalisha hasara tu.