Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

Nakumbuka wakati nasoma chuo kikuu pale Mlimani miaka hiyo, haya magazeti ndiyo yalikuwa hayanunuliki kabisa. Hivi sijui siku hizi kama bado yapo. Maana yatakuwa yanazalisha hasara tu.
Huwa wanazilazimisha baadhi ya ofisi zinunue kwa lazima
 
Gazeti la uhuru,machinga hata unipe na elfu kumi siwezi lisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…