Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

[quote uid=353066 name="Jemedal_bin_chichi" post=15957626]sion tatizo, lkn angekua amepata buz tuu na anaishi nalo kwel kungekua na shida[/QUOTE]<br />Dhambi, anafanya mambo ki sayansi

kutolewa mhal ni dhambi.... et kisayansi hahahhaah
 
Wenyewe huwa wanasema chuo.sasa yeye atafika sijui chuo changapi?
 
[quote uid=353066 name="Jemedal_bin_chichi" post=15957626]sion tatizo, lkn angekua amepata buz tuu na anaishi nalo kwel kungekua na shida
<br />Dhambi, anafanya mambo ki sayansi

kutolewa mhal ni dhambi.... et kisayansi hahahhaah[/QUOTE]

We hujaelewa, yani hawezi kuishi na mwanaume bila ndoa, ila anafanya uhuni wa kisayansi, lazima afunge ndoa kwanza
 
Looh nyingine tena hiyo tuiiteje bahati au mkosi?
 
View attachment 341257

Baada ya ndoa yake na Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Bunge la JMT ndugu Sadifa kuvunjika,sasa Wastara apata bwana mpya na amekwisha tolewa mahali

Kweli huyu dada ana nyota ya kuolewa,ikizima hii inawaka ile


wazazi wake wanavuta mkwanja tu sasa hii ishakuwa bidhaaa tamwa mkuje huku
 
Kama bahati ndio hiyo,bora niikose.
Haileti picha nzuri kuolewa na kuachika kila wakati.
 
Hao wazazi wanaochukua mahari ya wastara wapimwe akili, kwa maana haiwezekani wanapokea tu mahari kwa kila anaetaka kumuoa huyo mama, inawezekana ni kamchezo kakibiashara kwa kila anaetaka kumla denda wastara lazima na wao wapate kamisheni.
Yule babu ndiyo mpokezi wa hizo mahari.
 
Usemayo yote anayo.....! Nakuhakikishia
 
Hili gazeti lililoandika ni ngumu kuamini
 
8. Maisha yanamchanganya (anatumia ndoa kama kitega uchumi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…