wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
kwelNinamwona kwa mitazamo ifuatayo. Wanaomfahamu wanaweza kusema.
1. Akili yake iko chini ya kiwango cha kawaida.
2. Ni limbukeni wa maisha na uswahili wa kutupwa.
3. Mshirikina sana.
4. Shule hakuna.
5. Kwake maisha ni ilimradi leo.
6. Mpenda show na kujilinganisha na watu kwa ushindani wa kijinga.
7. Hana maadili.
Hakuna mtu mwenye tofauiti ya hapo anaweza kuwa na life style ya namna ile.