Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

Kwahy kama kapata mtu wa kumuoa akatae kisa nini? Akatae kuolewa ili walimwengu msiongee?
 
Eeeehhh tena??? Huyu sasa kazidisha mweeeeehhh

Nahisi ni Mswahili na anajihusisha na ushirikina aisee kha?? Haiwezekani wewe uachike mara kibao hata machungu hayajaisha unaingia tena kwenye ndoa nyingine?? Ili hali anajua "Tamu na Chungu" ya ndoa hapana aisee kazidi mwenzetu huyu mmhhh
 
Sasa mbona tulikuwa tunaambiwa AY ndiye aliyekuwa anawa connect wasanii wa nje na wa ndani kufanya collabo?
 
Ulie post rekebisha kiswahili chako kina ukakasi.
Sio ametolewa "MAHALI"
Usahihi ni "Mahari"
Naomba kuwasilisha.
 
Hivi ule wimbo wenye maneno"ndani ya 1 wiki ashapata mwingine..."aliimba nani vile?
 
Muhimu sio mahari mengi muhimu atakae na huyo mumewe
 
Shida yake mahari tu,Mbunge alitoa m.7,huyu tena m.5,kwahyo akipiga mara 4 hivo kwa mwaka huu tu atakuwa mbalj sana.
 
Heri yake anaolewa mchana kweupe tena kwa baraka za wazazi na Mola wake! Wenzake wanaolewa usiku na kuachika kesho yake tena kimyakimya! Hongera Wastara kwa kuepuka zinaa.
 
Tofauti ya ndoa za mke moja Na wake wa mafungu ndio hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…