Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg

Baada ya ndoa yake na Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Bunge la JMT ndugu Sadifa kuvunjika,sasa Wastara apata bwana mpya na amekwisha tolewa mahali

Kweli huyu dada ana nyota ya kuolewa,ikizima hii inawaka ile
 
Wastara nadhani unahitaji maombi unatisha dini yako inaruhusu mwanaume kuona hata wanawake 4 lakini wewe umeweka Historia ya kuolewa Na wanaume wengi Na kuachika Mara nyingi hongera wastara
 
Huyu mwanamke anaweza kuwa fyatu nadhani.....

Ninamwona kwa mitazamo ifuatayo. Wanaomfahamu wanaweza kusema.

1. Akili yake iko chini ya kiwango cha kawaida.

2. Ni limbukeni wa maisha na uswahili wa kutupwa.

3. Mshirikina sana.

4. Shule hakuna.

5. Kwake maisha ni ilimradi leo.

6. Mpenda show na kujilinganisha na watu kwa ushindani wa kijinga.

7. Hana maadili.

Hakuna mtu mwenye tofauiti ya hapo anaweza kuwa na life style ya namna ile.
 
Mama wa watoto watatu, kila mtoto na baba ake.....
Hajielewi huyu mmama
 
Nilianza kuona slogans za 'wanaume wa Dar' hapa JF lakini mwanzaoni sikuelewa maana yake, sasa naanza kuelewa!
Kweli wanaume wa dar wanatisha.
 
Back
Top Bottom