Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kujichimbia wapi.Umejichimbia mmmh uliyempata huyo kiboko
Magufuli huyo, ananiweka ofisini mpaka saa 12 jioni, muda wa kuingia mitandaoni sipati siku hizi mwenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujichimbia wapi.Umejichimbia mmmh uliyempata huyo kiboko
HahahaaaaaHahaaa...Kuna Rais mmoja mkongwe barani Afrika ana misemo tata sana! Aliwahi kunukuliwa akisema...''When beautiful woman fail to use her brain then her private parts suffers most''...
Haki ya nani itakuwa kuna kitu anaeneza sio bure akili kumkichwa am not sure kama zina tosha vizurimhhh kabumbuluka saa hz au anaeneza nn
Inawezekana ndo Kiki yake hiyo.Wastara hanaga story nyingine zaidi ya kuolewa?
Nini shida