unajua gt jambo usilolijua ni kama usiku wa giza hoja gazeti limeharibu? nini hata kama limeanzishwa kwa ajili ya uchaguzi cha muhimu linafuata sheria za habari pili we hujui jinsi waandishi wanavyonyanyasika katika media its high time kwa wao kujikusanya na kujaribu kumiliki vyombo vyao kila siku kazi za watu hawana wema hawajali we hujui, kama na wao wanahitaji maisha bora furaha yao ni kuona viatu vinaisha na hii ndio njia pekee itakayofanya waandishi wa bongo wasiwe watu wa takrima kwani vijimshahara vyao wamiliki wa vyombo vya habari viduchu havitoshi kukidhi maisha bora,mtoto wa mpiganaji akiwa na maisha mabovu mwisho wa siku baba ake ni kusutwa alikuwa kimbelembele kuandika vya wenzake yeye hata familia imemshinda!!ndivyo walivyo wabongo waachee kabisa wakina beni uwatue watoto wa watu kesho kitenge gamba wakionekana kwa daladala mtasema umaarufu tu hawana kitu waangalie na ndio maana kama una habari sasa hivi waandishi wengi wako shule wakilamba nnondozzz za digrii hamjiulizi gondwe yuko wapi? tafuta upate habari yake za wengine na kuhakiakishia waandishi wengi tu watamiliaki magazeti kama vile wakinaulimwengu tatizo mitaji lakini kwa njia ya kuungana iko siku na redio watamiliki nini gazeti leo tunaringia michuzi we unafikiri kafanya kazi ndogo kutoka anamiliki kile anacho utaalamu wake,achaa maneno yako kama huna la kusema au hoja, leta hapa kwenye jf hoja sio udaku udaku uwendanae na hoja chunguza au mwite beni akwambie whats going on katika media usibwate hakuna maisha hayo watalihangaiakia taifa hili pasipo lolote uliza media za wenzetu huko europe maisha yao sio hapa bongo na iko siku waandishi wenye mdeia za itakuwa kazi kuwapata kwani hata sasa kwa taarifa yako ni wachache wenye uwezo wa hata huyo ben ambaye wewe unadai ni darasa la saba wengi ni bginars tu wanahitaji uzoefu toka kwa kina beni na wengineo we ulitaka mtu kama kumwebe kwa mfumo huu wa ajira za habari za hapa bongo afanyeje asipoandika sana afe njaa ana mtazamo wa baadaye ndugu wanaomtegemea sasa kijimshahara cha rostama kitamtosha nini aombe rushwa alafu mseme nini weee achaa bwana mambo ya media hujui kitu we roho inakuuma kusiki willy anaendesha mkoko ulitaka waeendeshe hao wakina lundenda we hujui hiyo miss tanzania inasurvive kwa media na ndio maana kuna wakati aliwapa uwakala waandishi kibao imemfanya anko kuwepo mjini kwa kalamu zao tu, ikiikaliawa kooni na waandshi ahiwezi kufika mbali wengi tu watu wa hapa town wamefakinikiwa kupitia wandisshi ila hawana shukrani wala nidhamu juu ya waandishi na hilo linapaswa walitambue kwani wanatumika sana sas ani wakati wa kuacha habari za promosheni na kuandika zaidi habari za matangaza ambazo itabidi wakalipie kaa matangazo!! itafika wakati huo ni kuandika habari za matatizo ya kijamii kaa na waandishi wakueleze ummuhimu wa media usiwe kama yule jamaa aliyetukana waanshi akidaia alina Lizi khan wa Cnn ndio bora kwake wakati jamaa hajui kama leo hii tarime watu kwa nini wanachinjana kila siku. achaa kabisa