Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

wana JF tusipoteze muda na maada za kipuuzi. Mtoa maada anachuki na hao watu.njia pekee ni kumfuata mwenye hiyo kampuni na amweleze kuwa ameajili watu wasiosoma na wasio na uzoefu. labda mtoa maada na aseme yeye kasoma madarasa mangapi. na si kuleta habari zisizo ma maslahi hapa!!. wasiwasi wangu ni kuwa wachangiaji makini watakimbia kweye JF kwani JF siyo uwanja wa umbea na unafiki. wewe mtoa maada unaweza kusema umesoma madarasa mangapi!??? na katika kusoma kwako unajua nini kuwazidi hao unao waita wachovu!???

mkuuu nakuuunga mkono mia kwa mia sasa hivi kabakia kunihariri utafikiri yeye ni editor badala ya kunijibu hoja jamaa hafai kukaa humu analeta mada za majungu huyu vipi ohoo mtoto wa jakaya soa what!! utafikiri katumwa na mafisadi lete hoja za msingi group zima la kina ben nalijua hana hata data moja na ndio maana nilijaribu kuweka mkeka nashukuru kaelewa na sasa hana hoja ya kuendeleza hilo jungu lake,tena hatufai huyu na watu wa jamii yake humo.
(Heri ya mjinga kuliko mpumbavu)
 
GT sio mtu wa majungu ni katika top five vichwa vya JF amechangia mambo Mengi sana hapa jf.

GT ni mtu wa kwanza hapa JF kuandika habari ya MEMBE kugombea urais na thread hiyo ilimfanya waziri MEMBE ajiunge Jf KWA jina la MBOPO kuja kukanusha na kusema kuwa GT ni mleta majungu. leo hii ukweli umethihiri juu ya MEMBE na Urais 2015.

GT ana michango mingi hapa hatuwezi kumbeza na kukusikiliza wewe uliyekuja kwa ajili ya mada hii huna hata miezi miwili humu. na inawezekana mada hii ikiisha ndio mwisho wako hapa.
GT,Mwanakijiji,Field Marshal,Nyani Ngabu wamefanya makubwa kwenye hii JF.

Data za Ben Kasema GT kuwa ni darasa la saba na amekuwa msimamizi wa Kitongoji wa Miss Tanzania toka miaka ya tisini, hakuna la uongo wala majungu.

pia mtu kuwa msimamizi wa Mashindano ya MISS mara nyingi huwa ni MAKUWADI wa kuwauza dada zetu.
 
Benny kisaka yuko kwenye miss tanzania akimaliza atakuja kujibu kwa makosa ya spelling kama mwanzo.
 
wana JF tusipoteze muda na maada za kipuuzi. Mtoa maada anachuki na hao watu.njia pekee ni kumfuata mwenye hiyo kampuni na amweleze kuwa ameajili watu wasiosoma na wasio na uzoefu. labda mtoa maada na aseme yeye kasoma madarasa mangapi. na si kuleta habari zisizo ma maslahi hapa!!. wasiwasi wangu ni kuwa wachangiaji makini watakimbia kweye JF kwani JF siyo uwanja wa umbea na unafiki. wewe mtoa maada unaweza kusema umesoma madarasa mangapi!??? na katika kusoma kwako unajua nini kuwazidi hao unao waita wachovu!???

Duuh amfuate mwenye Gazeti (Blandina Nyoni) atakubali?
 
Duuh amfuate mwenye Gazeti (Blandina Nyoni) atakubali?

Hii kali Blandina Nyoni yule alikuwa kigogo Hazina...mmhh ndio yale yale ya Rostam Azizi na gazeti la Mwanachi - the Richmond saga. Mwanasiasa anapokuwa na chombo cha habari kwa sehemu kubwa ana-advance interest zake na si vinginevyo.

Mambo mawili yananikera pale wanasiasa wanapown vyombo ya habari mosi kutokuwepo kwa fair playing field kati ya wanasiasa wenye vyombo vya habari na wasionavyo wakati wa chaguzi, pili kutumiwa kwa hivi vyombo kuficha madhambi ya wanasiasa au ufisadi. Kibaya zaidi wako waandishi uchwara au vihiyo kama huyu ambao wako tayari kuuza utu na heshima yao.

Kwa mtaji huu namuunga mkono mwenye hii thread sioni tatizo la kuweka wazi waandishi vihiyo au uchwara na nani ana own gazeti gani. Vita ya ufisadi haiwezi kupigwa bila msaada wa vyombo vya habari sasa kama mafisadi wanaown hivi vyombo habari hii vita tutaipiga vipi kwa kutumia Daily News... I don't think so?
 
mmmh hao ni vihiyo kwelikweli na ilikuwaje ni aibu kweli tena kwao ulaya kama kwenda sokoni lakini wako bogazz.
 
Issue hapa kwa mtu ambaye amekuwa exposed kama PINTO the last thing one would have expected ni yeye kufungua gazeti lenye category ya RAG...surely what i expeced angefungua gazeti lenye calibre ya NewYork Times au Times of London lakini siyo gazeti lililo kaa kama National Enquirer if not Daily Star

Na sina matatizo na Ridhwani par se lakini this is embarassment kwake kwa sababu kwa msomi kama yeye he should have known better na the last thing alichotakiwa kukifanya ni kuwa exposed na mambo haya ...na mbaya zaidi kuingia kwenye investments ambazo zitamweka kwenye front pages bila sababu yyote ile...another day another wrong move from Ridhwani...kwanza ile ya CCM nayo ilikuwa mchemsho sasa hivi hiii

nilikuwa namtetea sana humu nikaambiwa ohhh Ridhwani jamaa yangu lakini hili I'm sorry to say sipo pamoja naye

halafu mnalalamika kuhusu media credibility Tanzania

GT wewe sio mtu mwenye credibility, kwani utetezi wako ni wa watu wanaokufadhili na ndio maana hata siku moja huwezi kuwakosoa NSSF kwa sababu ya jinsi wanavyokupa mshiko; sasa unakili kuwa ulikuwa unamtetea Ridhwani sio kwa hoja zake bali bila shaka kwa kulipa fadhila ulizopata toka kwa watu wanaohusiana nae!! Propaganda zako za udini ndio zimekudhalilisha moja kwa moja na wemgi tunakujua kuwa hata huo uus tadhi unaojifanya unao ni fake tu!! Grow up,do not cheapen yourself!!
 
Inawezekana kuna wamiliki wa magazeti wanamtumia huyu jamaa. Si amini kama hiyo hoja ni ya kweli labda aweke uthibitisho
 
Issue hapa kwa mtu ambaye amekuwa exposed kama PINTO the last thing one would have expected ni yeye kufungua gazeti lenye category ya RAG...surely what i expeced angefungua gazeti lenye calibre ya NewYork Times au Times of London lakini siyo gazeti lililo kaa kama National Enquirer if not Daily Star

Na sina matatizo na Ridhwani par se lakini this is embarassment kwake kwa sababu kwa msomi kama yeye he should have known better na the last thing alichotakiwa kukifanya ni kuwa exposed na mambo haya ...na mbaya zaidi kuingia kwenye investments ambazo zitamweka kwenye front pages bila sababu yyote ile...another day another wrong move from Ridhwani...kwanza ile ya CCM nayo ilikuwa mchemsho sasa hivi hiii

nilikuwa namtetea sana humu nikaambiwa ohhh Ridhwani jamaa yangu lakini hili I'm sorry to say sipo pamoja naye

halafu mnalalamika kuhusu media credibility Tanzania

GT might be on the right side ........ connecting the dots ...

Kikwete's son launches Kiswahili daily

On June 1, rumours that President Jakaya Kikwete's son, Ridhwani, had landed in the media industry were finally confirmed. The first issue of Jambo Leo, a Kiswahili daily, hit the streets.
Ridhwani studied in the UK where he met Juma Pinto, a Tanzanian journalist. Pinto was running a magazine featuring Tanzania. He later coordinated several TV programmes in the UK that advertised tourism for Tanzania. Ridhwani was hosted by Pinto in the UK and the two did deals, including a Ministry of Natural Resources and Tourism job to advertise Tanzania's tourism.

This tender generated a lot of cash for the duo and when Ridhwani returned to Dar he teamed up with a friend to launch Jambo Leo to boost his father's career and his own political ambitions. Among the founders of Jambo Leo is Ben Kisaka, a photojournalist close to Pinto and Ridhwani.

Jambo Leo, with modern offices next to Habari Leo and the Tanzania Information Services (MAELEZO), is said to be targeted at next year's elections. It has attracted journalists from leading media houses, offering them juicy packages. Boniface Wambura is the Chief Editor.

source: http://www.eastafricapress.net/inde...-son-launches-kiswahili-daily&catid=34:briefs
 
hey what i need is juma pinto e_mail alafu tuta endellea na mambo mengine

simu ya kanjanja Willy Edward 078 6294384.
Mhariri wa Habari Joachim Mushi 0717 030066.email yake jomushi79@yahoo.com
Mhariri wa habari hivi sasa ametoka Kulikoni Simon Mkina 0754 020880
Mhariri mkuu Wambura 0713 210242 ukitaka kujua kuwa hawako serious hawa makanjanja.Mhariri mkuu anatumia Tigo line.
email ya gazeti jambonewspaper@yahoo.com
 
Kuna ubaya gani wa kutumia Tigo line? Hata mimi nikiwa Dar natumia Tigo. Hela yangu siwapi mafisadi wa Voda, ng'o!
 
Kuna ubaya gani wa kutumia Tigo line? Hata mimi nikiwa Dar natumia Tigo. Hela yangu siwapi mafisadi wa Voda, ng'o!
Haiamini wakati mwingine inapotea hewani masaa hata matatu na sehemu nyingine haipatikani.vyema Zain na Zazntel kama hutaki Voda.
 
Jamani hamjui kuwa kazi ya uandishi wa habari hapa TZ ni kama machinga,hawalipwi hawa ni Wahariri tu ndio wanakiuwa na uhakika na ajira kwa hiyo ilo nti ajoko€u kimaisha inabidi awe hustler wa habari,ujuzi nao ni elimu tosha ingawa elimu ni chachu ya kumfanya mtu kuwa mahiri,uandishi wa habari si uganga so hata kidato cha nne anaweza kuwa mwandishi wa habari pia kuna in house training ambayo huwasaidia kufunza mambo ya kazi na mtu akafanya kazi vizuri .Unaweza ukawa umemaliza chuo kikuu na digrii nzuri na bado ufanisi wa kazi ukawa chini ,jamani si tunao hao wenye vyeti vilivyotukuka lakini mpaka unajiuliza hivi vyeti ni halali au ndio kama vya Mahanga
 
Kila mtu apimwe kwa PERFORMANCE yake sio kasoma wapi, haiji hata chembe. Shule tu sio kigezo. Je, gazeti lao linasoko? Kama halina soko basi ndo kipimo na mwisho wao upo karibu vinginevyo sio hao tu wapo wengi wanaongoza watu amba walishakuwa mabosi wao na kazi zinaenda. Mtoa hoja sijajua alikuwa analenga wapi. Labda ni kutoa CV zao. RESULTS MATTERS nothing else.
 
Back
Top Bottom