Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

JF kama vile zeutamu! ntaacha kufungua tena huu mtandao, make, badala ya ku-discuss issues mnafanya character assasinations! Gazeti binasi linawahusu nini? kama JK angemteua STD VII Kisaka kuwa editor wa Daily News hapo tungesema, kwani TSN ni shirika la umma. Sasa hawa wamejikusanya waka-jasilia mali, nyinyi wasomi basi anzisheni magazeti yenu.
Kwa taarifa yenu Ben Kisaka sio STD VII. Ana BA degree kutoka LSE, one of the most prestigious universities in the UK. Pia ana PGD katika media management kutoka Yale University, USA na alikuwa ni Fellow katika university ya Oxford.
Na amesoma Tangayika International School, one of the highly-regarded schools of early learning in Tanzania. Sasa mnaanza kumsakama bila kujua hii solid CV.
Ridhiwani alimaliza LLM yake pale Birmingham, he was so bright that he covered the 20-month course in six months only. His thesis focused on reformation of organic laws in Tanzania. He is one of the best trained lawyers in Tanzania, that's why IMMMA advocates wamemng'angania kwa gharama kubwa na kumfanya Mkono asimpate.
 
yeah tell em'
 


Kweli Ruta umeamua kumdhihaki huyo kijana, ila anavyopenda misifa atafurahia na kuchekacheka tu, hiyo brightness kaipata wapi, tangu lini? kuajiriwa na hao maf***di ndio akili?
 
Game labda ungeeleza dhumuni la ulichotaka kuandika? sababu wawe darasa la saba,chekechekea,wamefukuzwa au hawajawahi kuajiriwa Lakini gazeti si limeshanzishwa?? na linafuata sheria zote za magazeti na linaendelea!!? Sasa tatizo liko wapi??? au ulitaka kutueleza nini??? Mi sijaelewa hasaaaa ulichotaka kusema??
 
Unataka kusema Harvard ,Oxford na Cambridge ukisoma vyuo hivyo utakuwa sawa na aliyesoma Tumaini University au Maarifa Media Trust(MAMET)?sijakuelewa.
 
I`m so happy to have been accepted as one of the members of your community and I hope to gain alot from you as you too will be sharing with me what you have.
 
Hi habari za leo mie mzima na nisijue ninyi vipiv mnajipangaje kwa ajili ya 2010?
 
sasa darasa la saba atafanya nini cha ajabu? kwenye ulimwengu huu wa karne ya 21.anapoteza mtaji wa wenye gazeti tu kina Blandina Nyoni ambaye ni katibu mkuu wa afya hivi sasa.
 

thread imenikumbusha mbali
 
Jamaa mmoja ana shauri lake kortini kaambiwa na hakimu apeleke tangazo lake la mirathi Jambo leo,kwa nini sijui..
 
Umewapotezea
 
hata sijui ulitaka kuandika nini Game Theory................hebu nifafanulie
 
Gazeti la jambo leo licha ya mapungufu yaliyoandikwa lakini sio baya. tatizo hawajipi nafasi ya kuhakiki habari wanazoziandika hivyo asilimia kubwa ya habari zao zinakuwa hazina mashiko. elimu na uzoefu sidhani kama ni kikwazo kikubwa kwao kutofanya kazi nzuri. wananchi tunahitaji habari ambazo hazitotupoteza bila kujali elimu na uzoefu wa mtu aliyeandika. changamoto kwao ni kuandika habari ambazo ni za kweli bila upendeleo, kujipendekeza, kutetea isipokuwa lengo liwe kuwapa habari wananchi. hawajapotea bado, wajipange na kasoro zinazojitokeza wanapokosolewa wawe tayari kujirekebisha lakini sidhani kama ni vyema kuwanyooshea vidole kwa elimu zao, uzoefu au kufukuzwa kwao kazi, kwani wote wanaofukuzwa kazi kwa shutuma ni kweli wakosaji? Tanzania sasa hivi ukiamua hata leo kumuharibia mtu unaweza, muite tu FISADI basi bila kutafakari na kutaka kujua ukweli kila mtu ataunga mkono na kuzomea, wakati mafisadi wa kweli wapo na hata hawaguswi. siku tukianza kuwatia hatiani mafisadi wa kweli tutaona mabadiliko hapa nchini. wengi waitwao mafisadi ni siasa tu. kazeni buti macomredi wa jambo leo, fanyeni kazi kwa uadilifu na dhamira njema basi mungu atakuwa pamoja na nanyi na mtafikia malengo yenu ya kutupasha habari zenye tija
 
Sijaona mantiki ya GT kuorodhesha wasifu wa hao aliowataja eti tu kwa sababu wanafanya kazi katika gazeti la Jambo Leo.Ninavyoona mimi ni kwamba GT anachuki binafsi na hao wote aliowandika kwamba walifukuzwa kazi hapa na pale. GT hebu andika mambo ya maana ya kuelimisha jamii ndani ya think tank hii sio kutuletea habari za udaku zisizo na tija kwetu kumbuka kwamba 'Simple minds discuss people, ordinary minds discuss events and Great minds discuss IDEAS'
 
Soma walichoandika kuhusu ripoti ya kashfa ya Jairo na bunge labda utapata mantiki ya GT. Ila huyu bwana kapotea kweli. We miss you Game Theory.
 
Naona upo kwa jukwaa la BIASHARA NA UCHUMI KIUKWELI SAFI SANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…