GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo?
Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa yatoke leo Jumanne watanzania tutayapataje?
Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa yatoke leo Jumanne watanzania tutayapataje?