Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

Hivi TAKUKURU wanasubiri nini kumchunguza huyu mwizi Kigwangala?

Kwani Sheria yao si inaruhusu kutumia taarifa ya whistle blower ?
 
Hivi TAKUKURU wanasubiri nini kumchunguza huyu mwizi Kigwangala?

Kwani Sheria yao si inaruhusu kutumia taarifa ya whistle blower ?
Hili jambo hata mimi najiuliza sana, TAKUKURU wanahamasisha raia kutoa taarifa za rushwa, ila taarifa zikitolewa kama hizi hazifanyiwi kazi.

Watu wanafunika kombe ili mwana wa haramu apite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…