Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe Ni Steve Nyerere nnKuna ukweli gani katika tuhuma hizi nzito, kinacho shangaza zaidi kwa nini gazeti la Jamuhuri linamkandia sana Dr.Kigwangalla, je, kuna ajenda gani nyuma ya pazia? JPM kasema Kigwangalla na katibu mkuu wa Wizara wanapaswa kulewana, actually JPM alikwenda mbali zaidi akasema Katibu Mkuu amuheshimu Kigwangalla - JPM knows what is going on - kinyume chake nyinyi mnakuja na stori zenu za kubuni tu - lengo lenu mnataka Kigwangalla afukuzwe kazi, ndio baadhi ya Watanzania tulivyo mazaba zabina tu mabingwa wa kupika majungu - wahariri magazeti wanapewa tu handdouts zenye stori za kutunga tu na wao wanazichapishwa hivyo hivyo bila ya kutafakari mambo.
Revisit mtiritiko wa tuhuma lukuki zinazo muhusu Waziri, zinaonekana wazi wazi ziko totally incoherent from highly questionable source like: majangiri wa wanyama na wale ambao hawakufanikiwa kugawiwa hunting blocks, hao ndio the brains behind machapisho ya gazeti husika.
Maneno chungu nzima, nani kawambieni kwamba kutangaza utalii ndani na nje ya Tanzania should cost nothing!! Any idea Kenya inatumia kiwango gani cha fedha kujitangaza Kimataifa?? Ukweli wa mambo Kigwangalla ni Waziri mbunifu sana sana, cha muhimu hapa gharama/matumizi ya Wizara katika masuala ya kujitangaza kiutalii yawe contained within the budget, haya mambo ya walio chini ya Waziri kujifanya ni Wakatoliki kuliko Papa hayatufikisha
popote.
Bukyanagandi,
Yani maprofesa wa Tanzania, walio wengi ni watu wahovyo sana, hata kama hapakuwa na mapatano, kitendo cha Kigwa kujitokeza hadharani kuzungumza kwa namna kuondoa mgogoro ilikuwa ni hekima kubwa, lakini approach ya huyu profesa kuendeleza mjadala wa mgogoro, sio tu nikumkosea heshima Rais lakini ni kielelezo, cha ubishi, ukaidi ulio tukuka, kwanza inaonesha yeye nichanzo cha mgogoro lakini pia hayuko tayari ku clear air hata baada ya tamko la mkuu wa nchi
Hivi utangazaji huo wa utalii uliandaliwa na kitengo cha masoko cha wizara ( kama kipo) ama yalikuwa mawazo binafsi ya waziri mwenye dhamana!? Na malipo hayo yanayosemwa yalikuwa halali ama lah!? Kama utaratibu wa malipo ulikuwa na shida, wahusika wa kutoa fedha wachukua hatua gani ela zitoke kwa wakati?
====
Kwa waliosoma habari nzima kwenye gazeti, mwandishi wa habari alimpa furusa mheshimiwa waziri kujibu yuhuma hizi..!?
Anajitangaza yeye na wasanii wake, halafu chaajabu sisi watanzania hata "FEES" za kutembelea hifadhi za wanyama hatuzijui. Kila ukitafuta mitandaoni unakutana na fees za watalii tu ila za wazawa hauzikuti.Angalia hili li picha lake kaliweka jkni utafikiri yeye ndie Serengeti, au my kilimanjaroView attachment 1325733
Nimetembelea website yao Posta. Browser yangu imenitahadharisha nisifungue kwani website hiyo 'imeshambuliwa' na malware. Sasa nawaza kwa wazo lako la apps za kuagiza vitu si watapata hasara kila kukicha. Hata hivyo wawekeze na kufuata ushauri wako. Naunga mkono hoja.mkuu, hii nchi kuna wakati ukiwa kiongozi lazima ufanye mambo kinyume cha taratibu kwa maslahi ya umma, emu litazame shirika letu la posta, walitakiwa wawe na huduma za kisasa mfano apps za kuagiza vitu kutoka nje nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapokei simu makusudiHivi utangazaji huo wa utalii uliandaliwa na kitengo cha masoko cha wizara ( kama kipo) ama yalikuwa mawazo binafsi ya waziri mwenye dhamana!? Na malipo hayo yanayosemwa yalikuwa halali ama lah!? Kama utaratibu wa malipo ulikuwa na shida, wahusika wa kutoa fedha wachukua hatua gani ela zitoke kwa wakati?
====
Kwa waliosoma habari nzima kwenye gazeti, mwandishi wa habari alimpa furusa mheshimiwa waziri kujibu yuhuma hizi..!?
Ukitaka kujua tabia ya mtu angalia marafiki zake, pale rafiki yako anapokuwa Steve Nyerere,Shilole, hapo ndio utajua tabia ya Mh,siku hizi kila kukicha yeye na mipasho tu.Hao akina Shilole huyu Kigwangalla anawavua chupi halafu anataka hela ya kuhonga itoke Wizarani. We can't buy that shit
ASANTE JF, turudi hapa tenaYasemekana Dr Kigwangala kama Waziri wa Mali Asili na Utalii amekuwa alitumia madaraka yake vibaya kushinikiza matumizi ya fedha za Serikali kinyume na taratibu. Ugomvi wa mara ya mwisho alitaka Katibu Mkuu wa Utalii alipe Mamilioni kwa wasanii waliokwenda mlima Kilimanjaro kama Steve Nyerere na Ebitoke.
Hitimisho:
Nampongeza Prof Mkenda kwa msimamo aliouonyesha hata kama atapoteza kazi yake lakini ataacha historia ya kwamba alisimamia nidhamu ya matumizi ya fedha za umma.
Soma mwenyewe hapo chini
View attachment 1315748View attachment 1315750View attachment 1315751View attachment 1315752
Bukyanagandi, njoo uone matapishi yakoKuna ukweli gani katika tuhuma hizi nzito, kinacho shangaza zaidi kwa nini gazeti la Jamuhuri linamkandia sana Dr.Kigwangalla, je, kuna ajenda gani nyuma ya pazia? JPM kasema Kigwangalla na katibu mkuu wa Wizara wanapaswa kulewana, actually JPM alikwenda mbali zaidi akasema Katibu Mkuu amuheshimu Kigwangalla - JPM knows what is going on - kinyume chake nyinyi mnakuja na stori zenu za kubuni tu - lengo lenu mnataka Kigwangalla afukuzwe kazi, ndio baadhi ya Watanzania tulivyo mazaba zabina tu mabingwa wa kupika majungu - wahariri magazeti wanapewa tu handdouts zenye stori za kutunga tu na wao wanazichapishwa hivyo hivyo bila ya kutafakari mambo.
Revisit mtiritiko wa tuhuma lukuki zinazo muhusu Waziri, zinaonekana wazi wazi ziko totally incoherent from highly questionable source like: majangiri wa wanyama na wale ambao hawakufanikiwa kugawiwa hunting blocks, hao ndio the brains behind machapisho ya gazeti husika.
Maneno chungu nzima, nani kawambieni kwamba kutangaza utalii ndani na nje ya Tanzania should cost nothing!! Any idea Kenya inatumia kiwango gani cha fedha kujitangaza Kimataifa?? Ukweli wa mambo Kigwangalla ni Waziri mbunifu sana sana, cha muhimu hapa gharama/matumizi ya Wizara katika masuala ya kujitangaza kiutalii yawe contained within the budget, haya mambo ya walio chini ya Waziri kujifanya ni Wakatoliki kuliko Papa hayatufikisha popote.
Ingependeza kama Kigwangalla angefikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi.Hawezi kuja huyo ng'o. Huyo Waziri wanaomtetea wamesahau alianzisha hii issue kwa wasanii na akaandika wizarani kwamba amewalipa posho, mpaka Diamond na Manager wake wakakataa hawajalipwa kitu (Wakasema Wamejitolea).
Diamond ashindwa kupanda Mlima Kilimanjaro, Steve Nyerere azitapika Tsh. Milioni 2
Pamoja na majigambo aliyoyafanya ya namna atakavyoupanda Mlima Kilimanjaro, msanii wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amekuwa miongoni mwa wasanii watatu walioshindwa kutimiza ndoto hiyo. Pamoja na majigambo aliyoyafanya ya namna atakavyoupanda Mlima Kilimanjaro, msanii wa filamu nchini...www.jamiiforums.com
mtamuua na stress naona ndoto zake za urais zimegonga mwamba kama mwenzie mwigulu ila jiwe huwa ananifuraisha sanaIngependeza kama Kigwangalla angefikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi.
Nina maswali mengi Sana,Angalia hili li picha lake kaliweka jkni utafikiri yeye ndie Serengeti, au my kilimanjaroView attachment 1325733
Kuna kipindi alikua anamtuhumu Kaka Nyalandu kwa ubadhirifuNdo Mana kapigwa chini