Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
LISSU AFANANISHWA NA LODILOFA
Aliyekuwa mgombea urais na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amejiukuta akifananishwa na mchekeshaji maarufu Lodilofa kutokana na mienendo na vioja vinavyojitokeza naye kila afikapo mahakamani.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na baadhi ya wananchi wamesema kuwa mwenendo wa Lissu wamekuwa wakiuona kama umekosa mvuto wa kisiasa na sasa unafanana zaidi na maigizo.
Lissu aonekana mara kadhaa akijitokeza mahakamani akiwa na nakala ya rasmi ya rasimu ya katiba, jambo linalotafsiriwa kama sarakasi ya kisiasa ikizingatiwa kuwa nchi bado bado inatumia katiba ya zamani.
===
Nani yupo nyuma ya Chidi Benzi?
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chidi Benzi amebua hisia chungu nzima baada ya kuanza kuonekana kwenye majukwaa ya kisiasa kwa kasi. Inasemekana kuna mfanyabiashara maarufu anamuunga mkono kwa nyuma. Hovyo hovyo kupewa fedha na vifaa vya ziada zinaonekana kumuingiza kwenye ramani ya kisiasa.
===
Mangungu akalia kuti kavu!
Baada ya timu ya Simba SC kuchezea kichapo kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga SC, Murtaza Mangungu amejikuta matatani katika wiki ngumu...

(Imeandikwa na Klaota Omary)Yasemekana kuna tajiri ameamua kumsimamia kwa ajili ya mambo yake ya kisiasa