Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
(Imeandikwa na Klaota Omary)Yasemekana kuna tajiri ameamua kumsimamia kwa ajili ya mambo yake ya kisiasa
Kivumbileo sio gazeti, ni karatasi ya kuchambia WamasayoLISSU AFANANISHWA NA LODILOFA
Aliyekuwa mgombea urais na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amejiukuta akifananishwa na mchekeshaji maarufu Lodilofa kutokana na mienendo na vioja vinavyojitokeza naye kila afikapo mahakamani.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na baadhi ya wananchi wamesema kuwa mwenendo wa Lissu wamekuwa wakiuona kama wa kisiasa na sasa unafanana zaidi na maigizo. Lissu aonekana mara kadhaa akijitokeza mahakamani akiwa na nakala ya rasmi ya hukumu yake, jambo linatofautiwa kama sarakasi ya kisiasa ikizingatiwa kuwa bado bado inatumia taktiki za zamani.
Nani yupo nyuma ya Chidi Benzi?
(Imeandikwa na Klaota Omary)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chidi Benzi amebua hisia chungu nzima baada ya kuanza kuonekana kwenye majukwaa ya kisiasa kwa kasi. Inasemekana kuna mfanyabiashara maarufu anamuunga mkono kwa nyuma. Hovyo hovyo kupewa fedha na vifaa vya ziada zinaonekana kumuingiza kwenye ramani ya kisiasa.
Soma ukurasa wa 6
Mangungu akalia kuti kavu!
Baada ya timu ya Simba SC kuchezea kichapo kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga SC, Murtaza Mangungu amejikuta matatani katika wiki ngumu...
KwendraaaKivumbileo sio gazeti, ni karatasi ya kuchambia Wamasayo
Perfect answer.Sasa sijui wanao tumia gharama nyiingi na kuharibu fedha za Watanganyika kwa ajili ya kumkabili Lodilofa wao ni akina nani,yaani nimekosa jina la kuwaita.
Nimejaribu kuwaangalia vichaa wanaozagaa barabarani na majalalani (siyo UDSM) nikaona mbona km wana akili japo ya kutafutia chakula hata kama ni cha jalalani,hivyo nikagundua ili nitakua nimewapendelea hawa wanaomuwinda LODILOFA.
Vile vipeperushi vyenu vya ******* karibia ya uchaguzi vimeanza tena, kodi zetu zinachezewa sana na hawa mafisadi ya CCM.LISSU AFANANISHWA NA LODILOFA
Aliyekuwa mgombea urais na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amejiukuta akifananishwa na mchekeshaji maarufu Lodilofa kutokana na mienendo na vioja vinavyojitokeza naye kila afikapo mahakamani.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na baadhi ya wananchi wamesema kuwa mwenendo wa Lissu wamekuwa wakiuona kama umekosa mvuto wa kisiasa na sasa unafanana zaidi na maigizo.
Lissu aonekana mara kadhaa akijitokeza mahakamani akiwa na nakala ya rasmi ya rasimu ya katiba, jambo linalotafsiriwa kama sarakasi ya kisiasa ikizingatiwa kuwa nchi bado bado inatumia katiba ya zamani.
===
Nani yupo nyuma ya Chidi Benzi?
(Imeandikwa na Klaota Omary)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chidi Benzi amebua hisia chungu nzima baada ya kuanza kuonekana kwenye majukwaa ya kisiasa kwa kasi. Inasemekana kuna mfanyabiashara maarufu anamuunga mkono kwa nyuma. Hovyo hovyo kupewa fedha na vifaa vya ziada zinaonekana kumuingiza kwenye ramani ya kisiasa.
===
Mangungu akalia kuti kavu!
Baada ya timu ya Simba SC kuchezea kichapo kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga SC, Murtaza Mangungu amejikuta matatani katika wiki ngumu...
Kodi ndio kwenye gazetiVile vipeperushi vyenu vya ******* karibia ya uchaguzi vimeanza tena, kodi zetu zinachezewa sana na hawa mafisadi ya CCM.
Wewe unafikiri vigazeti mshezi kama hicho kinawezàje kujiendesha kama siyo ruzuku au unafikiri hatujui kwa nini vinazuka tu nyakati kuelekea uchaguzi na agenda zao ni kuisaidia CCM?Kodi ndio kwenye gazeti