Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

Magufuli alisema COVID19 tena imeletwa na wale wachache waliokimbilia nje kwenda kuchanjwa

Waandishi wa habari wanapaswa kutumia bongo zao na kuanalyse critically kila neno analosema kiongozi
 
K

Kwa kweli haziwasaidii kitu! Ni uhuni tu! Cheki papo👇!
That’s it. No one knows (or rather, hao wataalamu hawasemi) kama ukishachanjwa tu then, HUTOPATA tena Covid au unapaswa kuchanjwa tena baada ya muda gani ili kuboost protection capacity
 
"Tanzania imejaribu kuwa kisiwa tangu Aprili mwaka jana, wakati nchi hiyo ya Afrika Mashariki yenye watu milioni 60 iliacha kutoa idadi ya maambukizo ya virusi vya corona ambapo kulikuwa na jumla ya visa 509. Maafisa wa afya ambao walihoji msimamo wa Magufuli kuwa COVID-19 imeondolewa nchini Tanzania walifutwa kazi".

Halafu mtu anakwambia corona ilipungua mwaka jana et sijui tulifuata ushauri wa wataalamu na kumuomba Mungu tukafanikiwa katika mapambano dhidi ya corona. Tanzania ilifanywa kisiwa toka mwaka jana hakuna takwimu na baadaye ikikakana hakuna corona.
 
Hata hotuba za huyu jamaa huwaga sisikiliI hazina mafunzo wala muelekeo
 
Msimamo wa Magufuli unatofautiana sana na wakuu wengine wa nchi za Kiafrika kama Rais Wavel Ramkalawan wa visiwa vya Ushelisheli, ambaye alipokea hadharani chanjo yake ya kwanza aliyopigwa mwezi huu na kuwataka raia kufanya hivyo
Nakupinga
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
 
Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Kuanzia Hitler, Idd Amin mpaka Mobutu Seseko, wote hao dunia iliwatambua kwa jasiri na maono yao, lakini walikuwa na ujasiri wa ovyo na maono ya kipuuzi.
Nini kipya alichonacho Jiwe?
 
Madaktari wa hospital zipi labda?
Tusiongee vitu vya kusadikika.
Hospital ipi Ina wagonjwa wa Corona na watu wangapi wamekufa
Hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja, kuna mgonjwa wa corona sasa hivi tunavyoongea.
 
Wazungu kun kitu wanakitamani wakione.
Yaani waone maiti zikizagaa mitaani huku Africa.
Sasa wanashindwa kuelewa inakuwa wanayoyataka hayawi.
Niwakumbushe tu HII VITA SIO YETU.
NI Vita Kati "YA MUNGU NA MZUNGU".
Kutoka 14:14.
Sisi tukae kimyaaa
Hueleweki kama jina lako lilivyo
 
Back
Top Bottom