Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naona aibu sana kuzaliwa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo alichomekea tu!Mtu ameacha kazi serikali kisa mishahara mdogo ameenda private sector kwa maono ya magu ameamua atafutwe na anyang'anywe leseni na hospital anayofanya kazi ifutwe ??
Naona aibu sana kuzaliwa Tanzania
That’s it. No one knows (or rather, hao wataalamu hawasemi) kama ukishachanjwa tu then, HUTOPATA tena Covid au unapaswa kuchanjwa tena baada ya muda gani ili kuboost protection capacityK
Kwa kweli haziwasaidii kitu! Ni uhuni tu! Cheki papo👇!
NakupingaMsimamo wa Magufuli unatofautiana sana na wakuu wengine wa nchi za Kiafrika kama Rais Wavel Ramkalawan wa visiwa vya Ushelisheli, ambaye alipokea hadharani chanjo yake ya kwanza aliyopigwa mwezi huu na kuwataka raia kufanya hivyo
Kuanzia Hitler, Idd Amin mpaka Mobutu Seseko, wote hao dunia iliwatambua kwa jasiri na maono yao, lakini walikuwa na ujasiri wa ovyo na maono ya kipuuzi.Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Kubwa-jinga kama kawaida yakoDunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!
Hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja, kuna mgonjwa wa corona sasa hivi tunavyoongea.
Wakiwemo akina Hitler, Mussolin, na Franco wa Spain. Walitambulika dunia nzima na hata ahera.Hivi unadhani Idd Amini hakuwa na maono na dunia haikumtambua?
Hueleweki kama jina lako lilivyoWazungu kun kitu wanakitamani wakione.
Yaani waone maiti zikizagaa mitaani huku Africa.
Sasa wanashindwa kuelewa inakuwa wanayoyataka hayawi.
Niwakumbushe tu HII VITA SIO YETU.
NI Vita Kati "YA MUNGU NA MZUNGU".
Kutoka 14:14.
Sisi tukae kimyaaa
Wengine wanadunda mtaani maana hawana cheo chochote serikalini wanasema ni "expendable"
Hueleweki kama jina lako lilivyo
Dunia yako inaishia wapi? Au pale Lumumba?Dunia nzima inamtambua Rais Magufuli kama kiongozi jasiri mwenye maono!