Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamemshinda kaja na ya Mimba ku divert attention...Hivi bado issue ya Makanikia ipo?
Nadhani iliishia pale walipokutana Sizonje na yule mwizi wa Makinikia pale Magogoni. Tena bila aibu mwizi akasifiwa mwanaume. Huyooo akaenda zake.Hivi bado issue ya Makanikia ipo?
Mwizi alikuja na Private jet.Nadhani iliishia pale walipokutana Sizonje na yule mwizi wa Makinikia pale Magogoni. Tena bila aibu mwizi akasifiwa mwanaume. Huyooo akaenda zake.
Yamemshinda kaja na ya Mimba ku divert attention...
Hivi bado issue ya Makanikia ipo?
Nyumbu huwa wanaelewana sana,,anapopita mmoja wote hapo hapo hata kama ni sehemu ya hatariwenye Akili ndo tunakuelewa wale kijani wao kuandamana na kupongeza tu
Ondoeni Kinga tuwashtaki namba 2,3&4 halafu muone kama Sizonje atapona kwenye ufisadi wa nyumba, meli, bajaj na bara bara.Nyumbu huwa wanaelewana sana,,anapopita mmoja wote hapo hapo hata kama ni sehemu ya hatari
tunasubiri "wanaume" waje!Hivi bado issue ya Makanikia ipo?
Makinikia yamepita tumebakiza Mimba za utotoni.
tunasubiri "wanaume" waje!
Wakileta unitag mkuu.............Mnacheza na maggugu nyieTUNAOMBA USHAHIDI WA MIKATABA YABOMBERDIER NA CHATTO
Utakapoisoma namba ndipo utakuwa na adamu kwamba mm ni babu yakoNdugu kwa hasira ulizonazo lazima utakuwa na cheti feki ama sivyo ulikuwa hewa si bure
HatimayeeeTunajikumbusha
Vipi?Mbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!
Jana Mbona Imetoka taarifa ya Serikali ya Kuyakataza Magazeti Leo Tarehe 15.06.2017 wamekuja na Habari Zilizokatazwa? Mmmh! Tuheshimu Mamlaka!
View attachment 524518
Tulia wewe, Huu ni wakati wa mama sasa na haya mambo yanakwenda kukomaHahahahahaaaaa. Ulitaka afanyeje kwa uchochezi wa Mawio!