Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

Nadhani iliishia pale walipokutana Sizonje na yule mwizi wa Makinikia pale Magogoni. Tena bila aibu mwizi akasifiwa mwanaume. Huyooo akaenda zake.
Mwizi alikuja na Private jet.
Akapata chance ya kuingia Jumba Jeupe na kukagua Gwaride
 
Alipomwita mwizi mwanaume amekuja na privat jet.......nikaona hana dhamira ya dhati anataka attention tu hana jipya......busara hakuna
 
Nyumbu huwa wanaelewana sana,,anapopita mmoja wote hapo hapo hata kama ni sehemu ya hatari
Ondoeni Kinga tuwashtaki namba 2,3&4 halafu muone kama Sizonje atapona kwenye ufisadi wa nyumba, meli, bajaj na bara bara.
 
Hata walifungie maisha ukweli utabaki pale pale kuwa hao maraisi waliopita wamehusika moja kwa moja kuliingiza Taifa katika mikataba ya kinyonyaji huku Watanzania wakibaki masikini...Mzalendo wa kweli hawezi kuchukia ukweli unaojenga Taifa hata utoke upande gani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…