Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Lilifutwa kabisa na nape ila kesi walishinda likafunguliwa linaidai serikali mabilioni na sasa sina wasi wasi kesi watashinda tuIla hawa MAWIO inabidi wafungiwe maisha. Ni wachochezi na wazandiki
Ni msaliti pia. Na anyongwe tu. Hakuna namnaMuhariri wa hilo gazeti ni muhaini...anafaa kunyongwa kabisa....
Ungeandika "mhariri wa hilo gazeti ni mhaini... inafaa kunyongwa." Sasa wewe hata kiswahili chenyewe hukijui sawa sawa ndiyo unataka mjuvi wa kiswahili anyongwe kwa kuwa tu kawataja wana CCM wenzako?Muhariri wa hilo gazeti ni muhaini...anafaa kunyongwa kabisa....
Unajua ni kwa kiasi gani kama taifa tunapoteza fedha kwa kuwalipa mawakili wa serikali kushiriki kesi mahakamani ambazo zingeweza kuhepukika? Hawa hawa Mawio waliwahi kufungiwa na kufunguliwa.Kwani jana hawakuonywa kuhusu taarifa hiyo?ni kiburi au majaribu?
Mkuu kina Lissu wanakwenda lini tena Canada na kujengewa ofisi na C.E.O wa barrick?Mbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!
Ngoja kesi ifike mahakani ............ tuone wataleta ushahidi gani utakapohitajiwa!!Kwani yeye Mwakyembe ana uhakika gani kama Mkapa na Kikwete hawajahusika na jambo hili la kuibiwa kwa madini yetu?
ccm inakubalika miongoni mwa watu wenye elimu ndogo_twawezaMbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!
Sijui wakoje. Yaani kutaja tu kwamba Mkapa na Kikwete wanahusika, nchi nzima itiwa ugaidi. Kwani wao ni kwa nini wasitajwe!Ngoja kesi ifike mahakani ............ tuone wataleta ushahidi gani utakapohitajiwa!!
Haha Nipashe la mtoto wa mjini Mengi.... waliguse waone.....Hahahaa hahaaa mbona Nipashe hawajaligusa?