Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

[emoji256]

Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu :
Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana.

Am not a stupid to sign agreement without a security.

✍✍✍

Shikamoo Mzee Chenge

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Kwani jana hawakuonywa kuhusu taarifa hiyo?ni kiburi au majaribu?
Unajua ni kwa kiasi gani kama taifa tunapoteza fedha kwa kuwalipa mawakili wa serikali kushiriki kesi mahakamani ambazo zingeweza kuhepukika? Hawa hawa Mawio waliwahi kufungiwa na kufunguliwa.

Mbona Lissu mnamwita mtetezi wa wezi halafu watu wanaendelea na maisha yao bila ya kufungiana!?
 
Ngoja kesi ifike mahakani ............ tuone wataleta ushahidi gani utakapohitajiwa!!
Sijui wakoje. Yaani kutaja tu kwamba Mkapa na Kikwete wanahusika, nchi nzima itiwa ugaidi. Kwani wao ni kwa nini wasitajwe!
 
Vita ya mikataba ya madini, haijawahi kumwacha mtu salama.
 
Utoto wa Mwakyembe!
Kwahiyo kuwahusisha hao Ndio wapate adhabu ya miezi 24?
 
Habari zilizonifikia inadaiwa kuwa Gazeti la Mawio limefutwa kutokana na habari iliyoandikwa leo....

Taarifa zaidi zinakuja...
 

Attachments

  • mawio-2.gif
    mawio-2.gif
    153.9 KB · Views: 38
Back
Top Bottom