Ccm na ufisadi ni sawa na samaki na maji. pete unaweza livua kwa muda ukitaka kuchepukaCcm na ufisadi ni pete na kidole
Hahahahaha shikamoo tena mzee Chenge, nacheka na vitu havi chekeshi ila ndio hivyo tena[emoji256]
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.
Nanukuu :
Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana.
Am not a stupid to sign agreement without a security.
✍✍✍
Shikamoo Mzee Chenge
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji120][emoji115][emoji115][emoji115]
Eeebwa so mzigo wote unamwangukia Mkapa.Ila KI-UKWELI, Pamoja na kwamba Rais kazuia kuwananga hawa marais wastaafu, ila walikuwa na kesi ya kujibu hapa, ikiwa kinga ingeondolewa, ila na wao wana damu, moyo, nafsi nk. machozi ya watanzania yanawalilia ndani ya mioyo yao, pengine kwa sasa tungekuwa tunakusanya mapato ya Trilioni 2 kwa mwezi, ila kwa Ulofa wao wakakubali kuweka ubongo wao pembeni na kuazima ubongo wa wazungu, baada ya kustaafu ndio ubongo wao umerudi na kuanza kujutia kuwa tulifanya makosa, hata JK. atasema kuwa nilisaini kwa maelekezo ya Mkapa.
Uhuru wa habari nchi zetu bado sana. Hadi aibu.
....Halafu wenyewe mtindio wa ubongo wanatuhimiza tushikamane na rais eti anachukua hatua za kizalendo kulejesha Rasilimali zetu,sasa kama hataki hata tuwataje viongozi waliokuwepo madarakani wakati mikataba hii ya kinyonyaji inasainiwa kile kinachoitwa uzalendo kiko wapi?
mawio wataenda mahakamani na wataigaragaza ccm vibaya,kumbukeni gazeti hili lilifungiwa mahakama ikalifungua na wanaidai serikali mabilion
Huyu ni msanii kuliko JakayaHalafu wenyewe mtindio wa ubongo wanatuhimiza tushikamane na rais eti anachukua hatua za kizalendo kulejesha Rasilimali zetu,sasa kama hataki hata tuwataje viongozi waliokuwepo madarakani wakati mikataba hii ya kinyonyaji inasainiwa kile kinachoitwa uzalendo kiko wapi?
Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!Magufuli kuna kitu anakosea.
Anafanya jambo zuri lakini ndani yake anaweka doa ambalo linachafua lengo lake na kubaki kudharauliwa.
Mfano zoezi la vyeti feki lilikuwa la maana ila lilialibika mwishoni kwa kuwabagua wanasiasa.
Sawa na hili la mchanga kafanya juhudi kubwa ila kaja kuharibu mwishoni
Hakuna mtanzania atakayeelewa kuwa matatizo ya madini kuwa maraisi waliopita hawahusiki kwani wao ndio waliokuwa wasimamizi wakuu.
Nadhani anavitisha vyombo vya habari kuwa hawanahuru wa kuandika mambo ya ukweli but kazi yao iwe mapambio tu.
Magu huweleweki unamalengo yapi
Huweleweki kuwa ni mzalendo wa kweli au ni mnafiki
Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!Yaani hata hizo kesi za akina Chenge zikifika mahakani tu mimi nitashangaa akina BM na JK wataponaje. Maana haiwezekani Mawaziri au wanasheria walikuwa wanafanya kazi bila baraka au maelekezo kutoka juu.
Nimeshangaa sana kuona JPM akiongea kwa hasira kwa hao jamaa kuzungumziwa kwenye mikataba.
Ndugu kwa hasira ulizonazo lazima utakuwa na cheti feki ama sivyo ulikuwa hewa si bureng'ombe huyo atajuta km nape