Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Kwa kulifungia Mwanahalisi,Sauti za wananchi hazitapaa hewani? Hapa kazi tu
 
Hawana kazi hawa..!

Hapa Kazi tu ya kufunga wapinzani midomo na kuwanyima uhuru wa Habari na kuongea,
Mbona hayo Magazeti ya Uhuru, Mzalendo, Habari Leo na Daily News kila siku yana andika uongo kuhusu Watanzania mbona hayafungiwi....???
 
Yap! Majinga yanafurahi lakini hayaoni hatari ya vyombo vya habari kudhibitiwa kwa namna iliyopitiliza!
Mimi ningesitikita kama Mtanzania ama the Guardian lingefungiwa siyo hili gazeti linalotolewa na waganga njaa wqnaojiita waandishi wa habari
 
nilichogundua mpaka sasa kazi wanayoweza kuifanya kwa ufanisi 100% ndiyo hii. lkn ukiwaambia tutafutieni hawa WASIOJULIKANA... watazame usoni pao utawaona ile alama ya kiashirio kwamba anaweza kukubadilikia ghafla. HONGERENI KWA KUZIBA MIDOMO.
 
watafungia magazeti yote lakini hawataweza kufunga midomo na masikio ya wananchi.ukweli haubadiliki kwa kufungia magazeti ....
 
Wewe hugangi njaa?
Sijawahi na wala Sihitaji kwani kula kwa kutumia ujinga wa watu ni tendo baya sana. Mimi pia siyo mpenzi wa udaku hivyo vijarida kama hivi vya waganga njaa havichukui muda wangu.
 
ule uongo juu ya Saanane ulikuwa mbaya hasa kwa wanafamilia
 
Kufunguiwa tu nalo ni tukio tungoje kuona umaarufu wake utajiongeza kwa namna ipi kama tukio lilivyo
 
Hapa Kazi tu ya kufunga wapinzani midomo na kuwanyima uhuru wa Habari na kuongea,
Mbona hayo Magazeti ya Uhuru, Mzalendo, Habari Leo na Daily News kila siku yana andika uongo kuhusu Wainzania mbona hawafungiwi....???
Mpaka habari kuhusu noah zetu tulizipata humo wakimnukuu Pogba
 
Unaokandamizwa ni uongo sio uhuru wa habari....
 
Serikali ifikirie kuipiga ban DW maana wamezidi kwa uzushi dhidi ya Serikali...
 
Uhuru ndilo gazeti linaloongoza kwa uzushi ila kwa kuwa ni la Mr zero aka uchwara haliguswi
 
Mimi nilitumia lugha chafu nikapigwa ban ya siku kama nne au tatu.
Mwanahalisi limekosea limefungiwa miaka miwili.

Muhukumu ndiye anayejua haraka kwamba kuna kosa zaidi ya aliyelitenda.

Uliahidi 50 ml. Kila kijiji/mtaa kimya

Uliahidi kuboresha maslahi kwa watumishi mpaka leo mtumishi anaonekana kama mkosaji tu kwa kila jambo.

Kila siku unasema unafanya kazi kwaaajili ya watanzania wote ila wapinzani ndio huwekwa mahabusu kila leo n.k

Subiri 2020 uone jinsi wananchi walivyo na umoja mpaka utashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…