Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

Nguvu hii wanayoitumia kuwakabili na kuzuia wakosoaji wangeilekeza tu hata kwenye kutoa pembejeo na ruzuku kwa wakulima vijijini, hakika wakulima ambao ni wengi zaidi wangefanikiwa sana kuondokana na umaskini Tanzania na rais angekumbukwa kwa hili akiondoka madarakani.

Sasa wakifanikiwa kunyamazisha sauti zote za wakosoaji na wapinga udhalimu, watarajie kuona hata mawe yakipiga kelele na kulaani huu uovu wao.
 
Hivi ule utaratibu wa kuyasijili upya ulikamilika? Ningekua mm kubenea ningebadilisha jina na kuliita [emoji357][emoji356][emoji357][emoji356]
 
Back
Top Bottom