meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Nafuu kwa lowassa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
limetatiza kama nini mkuu hebu nijulishe na mimi"Ndio acha walifungie, kwa maana limetatiza sana ujenzi wa viwanda na sasa utaona kasi itakavyokuwa kubwa"
hizo ni dalili za kuwa muongo, mtu anazungumza anapepesa macho tu hatulizi kichwa....Mbona kama vile anarembua ' mimacho ' yake wakati anazungumza hapo? Ni macho yangu tu ' yamekengeuka ' au na wengine mmeliona hilo?
Albadir inahusika (soon itakuwa vivid)Doh!!!! Mgonjwa katema tembe.
halina weledi kabisa lile gazetiWatu wataponda hii lakini watasahau hili ndio gazeti lireport Saanane kuonekana vijiwe vya kahawa na rafiki zake. Unafiki ni sehemu ya maisha yetu watanzania
...in someone's voice mkuu, au hujaona ".."?limetatiza kama nini mkuu hebu nijulishe na mimi
Ningeshangaa kama usingeandika hayaSafi sana
Sio kujieleza ili iweje!!
na hili gazeti limezidi sasa
naomba lipigwe mazima
Mkuu kweli kwa hizi "actually" 83 tutaelewa kweli?Basi tutasoma the guardian
Hakuna uhuru nje ya mpaka ya kazi za kiwandishi, sio Tanzania tu popote dunia tena kama marekani sio tu kufungiwa watu wengi na magazeti wangeripa pesa nyingi kwa namna yao ya uandishi,Miaka miwili ?Uhuru wa vyombo vya habari upo Wapi ?Tanzania kama Uturuki.
Mkuu kweli kwa hizi "actually" 83 tutaelewa kweli?