Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji wa serikali: Mfano tarehe 30 Januari lilichapisha habari yenye kichwa cha habari 'Ufisadi ndani ya ofisi ya JPM' ilhali ndani linazungumzia ufisadi ndani ya shirika la elimu Kibaha, ni kiwango cha juu sana cha sensetionalism. Tuliwaita wakaona udhaifu wao na kuomba Radhi na tukawasamehe.
Miezi miwili baadae April 27 wakaja na habari kubwa Mwakyembe: Maisha yangu yako hatarani. Hii stori ilikuwa ya kutunga, Mwakyembe hakuzungumza popote na mhariri wa Mwanahalisi wala mwandishi yoyote, wakaomba radhi kwenye gazeti lao la Mei kwa mheshimiwa Mwakyembe kwa kuomba Radhi, wakaahidi kwenye gazeti kuchukua hatua za kinidhani kwa mhandishi aliezusha, hatua hatujazisikia hadi leo na bado wameendelea na uandishi huo.
September 4 walikuwa na habari nyingine kubwa 'Makinikia yakwama'. Ni mfano mwingine wa habari ya kutunga, tukawapa muda wasahihishe lakini wakakataa kwa maana hawaoni kosa kisheria. Msingi wa kwanza kwenye uandishi wa habari ni ukweli, kamati ya makinikia imekwama wapi na lini, hata ukisoma Miga ina msingi wa confidentiality, sasa katikati ya mazungumzo gazeti kuibuka na kusema mazungumzo yamekwama.
========
View attachment 591506
View attachment 591504
Mbona hoja zako huwa zinaku reflect kama msomaji wa Wembe na Sani?Sijawahi na wala Sihitaji kwani kula kwa kutumia ujinga wa watu ni tendo baya sana. Mimi pia siyo mpenzi wa udaku hivyo vijarida kama hivi vya waganga njaa havichukui muda wangu.
Rudi kwenye hoja yako. Hata hivyo, ili nikusaidie staili za uhariri za Mwanahalisi na Mwananchi au Tanzania Daima ni tofauti. Kama umeisoma taarifa ya Dk Abbas ungeona haraka kwamba sababu ya kufungia Mwanahalisi ni moja tu-kuchapisha makala inayoonyesha kwamba Lissu ni mzalendo kuliko mkuu, period!kwa hiyo unafanyaje sasa mkuu? maana ushanichagulia upande
hivi unaweza ku dispute sababu hizo walizozitoa? mbona mwananchi haikumbani na hiyo kadhia? mbona gazeti kabisa la chadema "Tanzania Daima" haikumbani na hii kadhia
anayeonekana mjinga ni nani hapa?
Kama ilivyokuwa ya kizushi ile ya Naibu waziri Ngonyani ambayo gazeti la Mseto lilipoandika likafungiwa, lakini Magufuli alipomfuta kazi kwa sababu zile zile ambazo ziliandikwa na Mseto kama kawaida yenu mkampigia makofi Magufuli. Ingekuwa ya kizushi kama vile tu ya Ulimboka. Acheni woga jipangeni kuwa mnajibu hoja!Haswaa!!! Ila ingekuwa ya kizushi na chonganishi na baadae wakihojiwa wangeomba radhi.
He is the one majority of Tanzanians wantedSizonje the witch and ugly face
I like great thinker like you achana na wasiojielewa na ndio maanawanahasira na D.Uchwara waoLakini mara zote mahakama imekuwa ikithibitisha kuwa sio wazushi. Na mlivyo watu wa ajabu hata Mawio walipoandika kuhusu aliyekuwa naibu waziri Ngonyani Mawio lilifungiwa mkashangilia, lakini jambo la ajabu hata juzi waziri huyo huyo alipotakiwa na Magufuli ajiuzulu baada ya kutajwa na Kamati ya Bunge kwenye madini kwa jambo lile lile lililoandikwa na Mawio likafungiwa, mkashangilia tena. Nchi hii inaangamia kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wa aina yenu!
Haituhusu.. kama limekiuka maadili ya uandishi lifungiwe milele. Hata hivyo mmelibeba sana kwa makosa mengi ambayo wamekuwa wakifanya. Mna huruma mmnoo..lingefungiwa maisha. Tunamtaka Kub.ene.a arudi darasani amalizie shule yake ya msingi kama sikosei.Limezuia kuanzisha viwanda??
Tunawadai
Viwanda
Mil50
Komputee
Wasitusahaulishe
Gazet hilohilo liliandika Lowasa hasafishiki...lakini kwa mshangao walimsafisha wemyewee..siasa gani hizi za udanganyif mchana kweupeeKama ilivyokuwa ya kizushi ile ya Naibu waziri Ngonyani ambayo gazeti la Mseto lilipoandika likafungiwa, lakini Magufuli alipomfuta kazi kwa sababu zile zile ambazo ziliandikwa na Mseto kama kawaida yenu mkampigia makofi Magufuli. Ingekuwa ya kizushi kama vile tu ya Ulimboka. Acheni woga jipangeni kuwa mnajibu hoja!
Ndo matatizo ya wivu wa kike.kubenea na gazeti vimekujaje hapa??umaskini wa mawazo ni mbaya sana,huharibu roho na utu wako babel.kuwa wa kiume,pambana na hali yakoHaituhusu.. kama limekiuka maadili ya uandishi lifungiwe milele. Hata hivyo mmelibeba sana kwa makosa mengi ambayo wamekuwa wakifanya. Mna huruma mmnoo..lingefungiwa maisha. Tunamtaka Kub.ene.a arudi darasani amalizie shule yake ya msingi kama sikosei.
Kuwa na akili ww usikatishe tamaa watu kila kitu kina mwisho ww na si lazima uzeeke kwa maana huijui kesho yako, Hata Nape alikuwa kama ww na yy akawa wakwanza kuonyeshewa mashine hadharani na mpka leo haaminiSubiria huo mwisho mpaka unazeeka
Ukweli kabisa now mwigulu anajuta kuwa waziri wa mambo ya ndani coz anatumikaKuwa na akili ww usikatishe tamaa watu kila kitu kina mwisho ww na si lazima uzeeke kwa maana huijui kesho yako, Hata Nape alikuwa kama ww na yy akawa wakwanza kuonyeshewa mashine hadharani na mpka leo haamini
Nilicomment baada ya kuona maelezo na vielelezo vilivyotolewa na Serikali na kuanisha na comment iliyotolewa na mchangia mada. Na hata wewe inaonekana katika hili la Mwanahalisi huna la kulitetea ndio maana umehamishia magoli Mawio. Huwa sicomment nisichokijua kama hilo la Mawio ulilolileta.Kama ilivyokuwa ya kizushi ile ya Naibu waziri Ngonyani ambayo gazeti la Mseto lilipoandika likafungiwa, lakini Magufuli alipomfuta kazi kwa sababu zile zile ambazo ziliandikwa na Mseto kama kawaida yenu mkampigia makofi Magufuli. Ingekuwa ya kizushi kama vile tu ya Ulimboka. Acheni woga jipangeni kuwa mnajibu hoja!
Nape unayemsema ana njaa ya uwaziri siku akipewa atatulia kama kitila mkumboKuwa na akili ww usikatishe tamaa watu kila kitu kina mwisho ww na si lazima uzeeke kwa maana huijui kesho yako, Hata Nape alikuwa kama ww na yy akawa wakwanza kuonyeshewa mashine hadharani na mpka leo haamini
Uhuru bila uwajibikaji you endup in anarchy (mpatampatae). Hakuna uhuru usio na mipaka; kwa hili, moja ya hiyo mipaka ni kuandika ukweli. Ukiandika uongo lazima uwe tayari kubeba consequences zake.Miaka miwili ?Uhuru wa vyombo vya habari upo Wapi ?Tanzania kama Uturuki.