Gazeti la Mwananchi: Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Naona gazeti la Mwananchi wametoka na kueleza kwanini hadi sasa hawajasema chochote na hata kuanza kuposti taarifa zao!

Hakuna wakati mgumu wanapitia vyombo vya habari kama kipindi hichi so mimi binafasi na waelewa sana ila wanapaswa kukomaa sana ipo siku watashinda hii vita ya kunyimwa uhuru wa vyombo vya Habari nchini.
=============

Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu​

Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu ya simulizi ya Taifa letu.

Katika kila kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele vikielimisha wananchi, viki hakikisha kuna uwiano wa madaraka, vikidumisha uwajibikaji na vikikumbusha kila raia wajibu wake katika kuimarisha demokrasia. Lakini safari hii, matukio yaliyofuatana na ukakasi wake yameacha wengi wakiwa na majonzi, mashangao na swali lisilopotea masikioni mwa wengi linalouliza:
“Vyombo vya habari vilikuwa wapi?”

Siku ya kupiga kura na vurugu zilizofuatia, zilisababisha vifo vya watu wakiwamo wasio na hatia na uharibifu wa mali za umma na watu binafsi. Katika nyakati za namna hiyo, wananchi wana haki ya kutarajia taarifa sahihi kwa wakati pamoja na mwelekeo wa hatua za kuchukua kujilinda.

Hata hivyo, wakati huo wa taharuki, vyombo vya habari vya ndani ikiwemo Mwananchi vilishindwa kutekeleza wajibu wao wa msingi kuwa chanzo cha taarifa kwa Taifa katika muda ambapo Taifa lilihitaji zaidi taarifa sahihi na kwa wakati. Kwa miaka mingi, Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kupitia magazeti yake ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti imejengea heshima kama nguzo ya habari za kuaminika. Watazamaji na wasomaji wetu hututegemea kupata ufafanuzi, ukweli na mwanga wa mambo. Ilipofika wakati ambapo walipotutafuta, wengi walihisi kutoletewa habari za haki, wakaachwa na sintofahamu na hisia za kutengwa. Tunazitambua hisia hizo.

Hata hivyo, ni muhimu kuelewa mazingira ambayo vyombo vya habari hufanya kazi. Uandishi wa habari ni taaluma inayotawaliwa chini ya mwongozo wa sheria, taratibu na kanuni zinazolenga kuhakikishia uwajibikaji, weledi na uhalali wa kazi zetu.
photo_2025-11-04_18-04-44.jpg
photo_2025-11-04_18-04-52.jpg
 
Naona gazeti la Mwananchi wametoka na kueleza kwanini hadi sasa hawajasema chochote na hata kuazna kuposti taarifa zao!

View attachment 3497228View attachment 3497227
Kalamu ya Samia!
 
Kiukweli Mimi nafanya utaratibu wa kusepa hii nchi na nitaondoka bila kuangalia nyuma,maana kwa kinachoendelea Tanzania,ukiwa mtu wa haki na kusema ukweli kifo ni nje nje.

Kuna watu wamejivisha umungu hapa nchini,wanaamua nai aseme nini nani aishi na nani afe.

Leo Kuna lijamaa liaskari polisi jorani yangu kaweka status za hovyo huko Whatsapp nimezinguana nae sana.

Kuna kitu kinakaba shingoni kwa hizi dhuruma kmmk.
 
Kuna kenge anaitwa balile huyo ni kirusi pandikizi kwenye hiyo sekta
 
Naona gazeti la Mwananchi wametoka na kueleza kwanini hadi sasa hawajasema chochote na hata kuazna kuposti taarifa zao!

Hakuna wakati mgumu wanapitia vyombo vya habari kama kipindi hichi so mimi binafasi na waelewa sana ila wanapaswa kukomaa sana ipo siku watashinda hii vita ya kunyimwa uhuru wa vyombo vya Habari nchini.
=============

Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu​

Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu ya simulizi ya Taifa letu.

Katika kila kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele vikielimisha wananchi, viki hakikisha kuna uwiano wa madaraka, vikidumisha uwajibikaji na vikikumbusha kila raia wajibu wake katika kuimarisha demokrasia. Lakini safari hii, matukio yaliyofuatana na ukakasi wake yameacha wengi wakiwa na majonzi, mashangao na swali lisilopotea masikioni mwa wengi linalouliza:
“Vyombo vya habari vilikuwa wapi?”

Siku ya kupiga kura na vurugu zilizofuatia, zilisababisha vifo vya watu wakiwamo wasio na hatia na uharibifu wa mali za umma na watu binafsi. Katika nyakati za namna hiyo, wananchi wana haki ya kutarajia taarifa sahihi kwa wakati pamoja na mwelekeo wa hatua za kuchukua kujilinda.

Hata hivyo, wakati huo wa taharuki, vyombo vya habari vya ndani ikiwemo Mwananchi vilishindwa kutekeleza wajibu wao wa msingi kuwa chanzo cha taarifa kwa Taifa katika muda ambapo Taifa lilihitaji zaidi taarifa sahihi na kwa wakati. Kwa miaka mingi, Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kupitia magazeti yake ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti imejengea heshima kama nguzo ya habari za kuaminika. Watazamaji na wasomaji wetu hututegemea kupata ufafanuzi, ukweli na mwanga wa mambo. Ilipofika wakati ambapo walipotutafuta, wengi walihisi kutoletewa habari za haki, wakaachwa na sintofahamu na hisia za kutengwa. Tunazitambua hisia hizo.

Hata hivyo, ni muhimu kuelewa mazingira ambayo vyombo vya habari hufanya kazi. Uandishi wa habari ni taaluma inayotawaliwa chini ya mwongozo wa sheria, taratibu na kanuni zinazolenga kuhakikishia uwajibikaji, weledi na uhalali wa kazi zetu.
View attachment 3497228View attachment 3497227
Media zote Tanzania kwa sasa,iwe tv,redios,magazeti zimepoteza maana,lugha ya kueleweka pendine ni main stream media,ni bora mara buku upande wa social meadia japo sensorship ni mbaya mno hata naamini imekuwa corrupt kwa zile zinazofikika kwa mazingira ya ndani,ila za nje clampdown ni kubwa kiasi cha kuhuzunisha.
 
Naona gazeti la Mwananchi wametoka na kueleza kwanini hadi sasa hawajasema chochote na hata kuazna kuposti taarifa zao!

Hakuna wakati mgumu wanapitia vyombo vya habari kama kipindi hichi so mimi binafasi na waelewa sana ila wanapaswa kukomaa sana ipo siku watashinda hii vita ya kunyimwa uhuru wa vyombo vya Habari nchini.
=============

Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu​

Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu ya simulizi ya Taifa letu.

Katika kila kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele vikielimisha wananchi, viki hakikisha kuna uwiano wa madaraka, vikidumisha uwajibikaji na vikikumbusha kila raia wajibu wake katika kuimarisha demokrasia. Lakini safari hii, matukio yaliyofuatana na ukakasi wake yameacha wengi wakiwa na majonzi, mashangao na swali lisilopotea masikioni mwa wengi linalouliza:
“Vyombo vya habari vilikuwa wapi?”

Siku ya kupiga kura na vurugu zilizofuatia, zilisababisha vifo vya watu wakiwamo wasio na hatia na uharibifu wa mali za umma na watu binafsi. Katika nyakati za namna hiyo, wananchi wana haki ya kutarajia taarifa sahihi kwa wakati pamoja na mwelekeo wa hatua za kuchukua kujilinda.

Hata hivyo, wakati huo wa taharuki, vyombo vya habari vya ndani ikiwemo Mwananchi vilishindwa kutekeleza wajibu wao wa msingi kuwa chanzo cha taarifa kwa Taifa katika muda ambapo Taifa lilihitaji zaidi taarifa sahihi na kwa wakati. Kwa miaka mingi, Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kupitia magazeti yake ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti imejengea heshima kama nguzo ya habari za kuaminika. Watazamaji na wasomaji wetu hututegemea kupata ufafanuzi, ukweli na mwanga wa mambo. Ilipofika wakati ambapo walipotutafuta, wengi walihisi kutoletewa habari za haki, wakaachwa na sintofahamu na hisia za kutengwa. Tunazitambua hisia hizo.

Hata hivyo, ni muhimu kuelewa mazingira ambayo vyombo vya habari hufanya kazi. Uandishi wa habari ni taaluma inayotawaliwa chini ya mwongozo wa sheria, taratibu na kanuni zinazolenga kuhakikishia uwajibikaji, weledi na uhalali wa kazi zetu.
View attachment 3497228View attachment 3497227
Masikini wanajitahidi kuweka mamb saw
 
Ni mshangao kwa kila mtu kilichotokea, udhani kama askari wa Tanzania walikuwa na uwezo wa unyama kiasi vile.

Kilichotokea tumezoea kuona executions za namna ile kwenye war torn nations kama Sudan leo, Libya na Ivory Coast kipindi cha civil war.

Hata Museveni sidhani kama amewahi kufanya ukatili wa hivi kwenye chaguzi zao.

Huyu mwanamke kanifutia memory zote nilizokuwa nazo kichwani za Tanzania kama happy place.

She is evil beyond measurable.
 
Hii statement ni gia ya kurudi hewani, na kukwepa uwajibikaji.
 
Back
Top Bottom