Sio wewe tu mkuu....mpaka sasa natafakari...kumbe pamoja na kuishi kote huku nilikuwa sijaijua Tanzania...Ni mshangao kwa kila mtu kilichotokea, udhani kama askari wa Tanzania walikuwa na uwezo wa unyama kiasi vile.
Kilichotokea tumezoea kuona executions za namna ile kwenye war torn nations kama Sudan leo, Libya na Ivory Coast kipindi cha civil war.
Hata Museveni sidhani kama amewahi kufanya ukatili wa hivi kwenye chaguzi zao.
Huyu mwanamke kanifutia memory zote nilizokuwa nazo kichwani za Tanzania kama happy place.
She is evil beyond measurable.
Polisi wa Tanzania ni wanyama....pamoja na vurugu zote ila kupita majumbani na kuanza kuua watu namna ile aisee...Wambura...Mombo kweli?...
Spirit ya kishetani imo ndani ya Samia..hakika