Mnajikamatisha kiulaini sanaGazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Hili ni taifa lisilo na watu wenye akili, walipaswa kujiuliza maswali machache tu mrakibu wa polisi anawezaje kupanda juu ya difenda kwenda kuzuia mkutano wa nape.Haaaahaaaa..uandishi wetu wa habari huu. Kama lengo ni kumpata yule jamaa mbona yupo? Nape amtafute tu
Na huyu jamaa tumepiga nae gym pale ukonga madafu kwa ngoshaFfu ukonga kitambo sana cjui kwa ss yupo wapi
'Habali' ndio nini wewe zero wa LumumbaMagazeti yanayo wafulahisha ufipa na nadhani wamelinunua sana leona kujifulahisha na hiyo habali, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Form iv point 25 alafu ni luten Wa jeshi, mliopita jkt Na mliopo Jwtz naombeni kuelimishwa hapa maana mm najua afsa kuanzia nyota lazima awe na either form vi, diploma Na kuendelea, sasa huyu Urio ilikuwaje akaingia Na form akapanda mpaka koplo kisha Luten usu na luten kamili.Hawa ndio watu mnaotegemea walinde nchi dah!!! kweli hiki chama chenu kinahitaji la kufumuliwa na kutupwa kabisaa kisionekane
Pamoja na yote tulipongeze gazeti la MWANANCHI kwa vile limetupa jiwe kwenye shimo na mijusi na sisimizi wanatoka.Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Mbona anajulikana, na hata kipindi kile mbona jina lake lilikua wazi tu. Henry anajulikana karibu na kila mtu ukonga,Pamoja na yote tulipongeze gazeti la MWANANCHI kwa vile limetupa jiwe kwenye shimo na mijusi na sisimizi wanatoka.
Kama Polisi au Mamlaka zinasema huyo wa Nachingwea siyo Henry Kisanduku, ina maana wanamjua vizuri Henry Kisanduku. Basi sisi wananchi tunasema watuletee sasa Henry Kisanduku aliyemtishia Nape Nauye bastola.
Hongera kwa Gazeti la MWANANCHI, tupo nyuuma yenu
Form iv point 25 alafu ni luten Wa jeshi, mliopita jkt Na mliopo Jwtz naombeni kuelimishwa hapa maana mm najua afsa kuanzia nyota lazima awe na either form vi, diploma Na kuendelea, sasa huyu Urio ilikuwaje akaingia Na form akapanda mpaka koplo kisha Luten usu na luten kamili.
Ningekueleza Jambo Ila sijui sasa hivi hali ipoje maana upepo ushabadilika.Askari Wana majina mengi tegemea na operation lakini sitegemei kama Henry awe na mwenge na siye gilbert galanje
Hata Mimi nimeona gazeti limedanganywa.Ningekueleza Jambo Ila sijui sasa hivi hali ipoje maana upepo ushabadilika.
Henry hana majina yoyote mengi, tunamjua vizuri tu kijana wa UK.
Kwanza huyu Wala hawezi kabisa kuwa polisi mtwara kutokana na aina ya kazi anazopewa, elewa hivyo tu.
Pia hawezi vaa gwanda za polisi, pia hawezi kuwa na cheo chochote kile maana ni deiwaka flani hivi, nadhani ushaelewa
Umeanza kuelewa Sasa, Henry ni deiwaka. Ila ngumi anapiga kweli tena sanaHata Mimi nimeona gazeti limedanganywa.
Aliyemtolea nape bastola alikuwa mlinzi binafsi wa bashite akishiriki operation za utekaji na kuuwa watu.
Hicho cheo cha mwenge akipate wapi.
Againwafulahisha
Wangekuwa na busara wangejinyamazia kwa aibu.Kwahyo aliyemtishia Nape bastola leo hii anatetewa kabisa...
Maana yake alifanya jambo sahihi kabisa