Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mnajikamatisha kiulaini sanaGazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332
Karma noma