Gazeti la Mwananchi mna agenda ya kuchafua BAKWATA na Uislamu?

Gazeti la Mwananchi mna agenda ya kuchafua BAKWATA na Uislamu?

Shida ya waislamu hasa waafrica ni kutoweza tenganisha culture za kiarabu na dini yao mpaka leo.

Wao wanachukua dini na tamaduni za M.E mfano kuoa binamu huo sio uislamu hiyo ni M.E culture ata Jews wanafanya.

Ukienda nchi kama Israël kuna tamaduni nyingi sana za kiislamu, sio kwa sababu za kidini ni M.E culture.

Cultures evolve over time sehemu zingine more fast than others, dunia inadhani binti ambae bado ajafikisha miaka 18 ni mtoto; we utatakaje kuoa mtoto wa miaka 14 ambae ni umri wa mwanafunzi wa form two mzima kweli kichwani.

Hao masheikh waanze kueleweshwa ili waweze tenganisha uislamu na culture za M.E. Ukienda nchi zenye wakristo kidogo maeneo hayo kama Syria, Iraq, Egypt uwezi tenganisha na waislamu isipokuwa kwenye kuabudu tu; vinginevyo wote wanaishi through the same culture.
 
HAO NI UZAO WA SHETANI.
KUUA.
KUOA WATOTO WADOGO.
KUFUGA MAJINI.

kitabu Chao kilishishwa na shetani.
Saizi wamekazana kuabudu Mwezi kuliko Mumuabudu Mungu.

Nawaonea huruma sana.
Sisi tumeagizwa "Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda."Quran 6:108.

Nachelea kukwambia zaidi kwani mafunzo ya dini yetu hayaruhusu.

Jifunze na ujilazimishe kuheshimu wengine na imani zao na ujadiliane nao kwa njia nzuri (kwa wema) ili nao wajadiliane nawe kwa wema.
 
Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa"

Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa?

Bakwata walikuwa wazi ni mtoto wa miaka 14 ambaye amekwisha balehe. Picha inaongea zaidi ya maneno

miaka sita ni wapi inasema
 
Labda gazeti la mwananchi wamefuata mwongozo huu
Screenshot_20230328-131323_Chrome.jpg
 
Labda gazeti la mwananchi wamefuata mwongozo huuView attachment 2568620
Mkuu hili ni jibu tosha juu ya namna Uislamu unavyofundisha uafilifu, kwamba hata kama mtu anaolewa akiwa na umri gani, suala la kutosheleza matamanio ya kimwili ni mpaka mtu afikie umri wa kukua (to be sexually mature au to attain puberty).
 
Back
Top Bottom