antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Yale ya musiba hayawezi kuandika ufisadi huuMagazeti imekuwaje mnaripoti mambo haya ya ufisadi.
Mmefufuka na nyie. Maajabu.
Anyhow, there's light in the tunnel end.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale ya musiba hayawezi kuandika ufisadi huuMagazeti imekuwaje mnaripoti mambo haya ya ufisadi.
Mmefufuka na nyie. Maajabu.
Anyhow, there's light in the tunnel end.
usifikiri mtu mpaka kajitoa kuandika hivo ni mjinga, ashapima kina cha maji! mpaka habari inapitiwa na mhariri na kuchapishwa na wanajua kabisa litasomwa na wengi sio utani eti! acheni watu waongee kubana vyombo vya habari ni sera za kipumbavu tu! na kina kigogo sio watoa vijembe, wanasema ukweli yule jamaa hajawah niangusha anachosema lazima kitokee! nyie ndo mnasababisha twita isipatikaneHizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Mkuu mbona una tweta kama uko kwenye frying pan.Ndio iwe sababu ya kutunga habari kisa raisi kasema ifanyike investigation, tena pesa za miradi zilizotoka tofauti na story husika.
If anything mama Samia made a blunder kwa kutangaza ile investigation.
Kama ana wasiwasi angeitisha investigation ya kimya kimya tu kuliko kuitangaza na ku boost ego za Kigogo a person who already values his self importance.
Ni hivi watanzania ni predictable it was all coming
Orodha ya viongozi ambao Mama Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka
I said it before ☝️nini kitafuata kwenye media soon after; tegemea habari za ovyo ovyo 👋
😂 anarukaruka kama maharage yanayochemshwa, atulie uchunguzi ukishafanyika na majina tutawekewaMkuu mbona una tweta kama uko kwenye frying pan.
Si usubiri uchunguzi ndio uongee?
CCM ni ukoo wa panya.
Kigogo2014 alishayataja hayo majizi, yapo Ikulu yamejikausha kama hayahusiki
Haa msemaji aliye sifia ATCL linapata faida baada ya gawio la billion 28 kwambwembweOK kama anao, upande wa serikali ndio kwanza wanafanya uchunguzi kama kuna matumizi ya ovyo.
Yeye kama anajua zaidi awe tayari kuelezea kuisaidia serikali siku akiitwa TCRA msianze kusema uminywaji wa demokrasia akichukuliwa hatua kwa kukosa ushahidi.
Binafsi naamini busara ni kumpa rungu mapema msemaji mkuu wa serikali kama ilivyokuwa, vinginevyo yetu macho.
Unalaumu kabla ya mbona?Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Mkuu, tumia Vpn...nyie ndo mnasababisha twita isipatikane
Duh..Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Dada TheodoraKuna lugha hutumika ' whistle-blowing' na kuwa credible lazima investigation ifanyike.
Na kwa wanahabari investigative journalism inahitajika. Ili mwanahabari asiwe biased.
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?
Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?
Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.
Hakuna logic wala consistency kwenye story.
Unakubali kua 'He went overboard' ila unatamani amwambie msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni ule ule.Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Waliyomhoji ni nani ndo akatoa jibu hilo ? Maana tangu jana ameshikiliwa na anahojiwa na TAKUKURU.Dada Theodora
Jana nimelisoma gazeti la Raia Mwema.
Habari ile ina vigezo vyote vya investigative journalism:
1.Imetoa kumbukumbu za malipo ya jumla ya 47bn zilizoombwa katika siku ya mapumziko ya maombolezo 22/3,dokezo na barua wamenukuu
2.Wameainisha wastani wa maombi ya malipo yanayofanywa na bandari kwa mwezi
3.Wamemhoji DG Bandari kuhusu uhalali wa malipo hayo na uharaka wa malipo kuombwa siku ya maombolezo,fedha zote zimeombwa baada ya Mhe Rais kufariki.
Alichojibu ni kuwa kuna watu wanampiga vita hapo Bandari...
Kama ile sio Investigative journalism, manguli wa habari wapo humu watatujuza...