Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

usifikiri mtu mpaka kajitoa kuandika hivo ni mjinga, ashapima kina cha maji! mpaka habari inapitiwa na mhariri na kuchapishwa na wanajua kabisa litasomwa na wengi sio utani eti! acheni watu waongee kubana vyombo vya habari ni sera za kipumbavu tu! na kina kigogo sio watoa vijembe, wanasema ukweli yule jamaa hajawah niangusha anachosema lazima kitokee! nyie ndo mnasababisha twita isipatikane
 
Mkuu mbona una tweta kama uko kwenye frying pan.
Si usubiri uchunguzi ndio uongee?
 
Haa msemaji aliye sifia ATCL linapata faida baada ya gawio la billion 28 kwambwembwe
 
Unalaumu kabla ya mbona?
 
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Duh..
Yaani unashabikia media censorship?! Au ww ni mshirika wa hao wakwapuaji?

Kibano kwny media rasmi ndo sabb ya Kigogo kupanda chati, maana kwa muda sasa amekuwa ndo chanzo pekee cha habari za kweli.

 
Kuna lugha hutumika ' whistle-blowing' na kuwa credible lazima investigation ifanyike.

Na kwa wanahabari investigative journalism inahitajika. Ili mwanahabari asiwe biased.
Dada Theodora
Jana nimelisoma gazeti la Raia Mwema.

Habari ile ina vigezo vyote vya investigative journalism:
1.Imetoa kumbukumbu za malipo ya jumla ya 47bn zilizoombwa katika siku ya mapumziko ya maombolezo 22/3,dokezo na barua wamenukuu

2.Wameainisha wastani wa maombi ya malipo yanayofanywa na bandari kwa mwezi

3.Wamemhoji DG Bandari kuhusu uhalali wa malipo hayo na uharaka wa malipo kuombwa siku ya maombolezo,fedha zote zimeombwa baada ya Mhe Rais kufariki.

Alichojibu ni kuwa kuna watu wanampiga vita hapo Bandari...

Kama ile sio Investigative journalism, manguli wa habari wapo humu watatujuza...
 
Naona sasa vyombo vya habari vinaanza kufanya kazi zake kwa uhuru angalau
 

Usichokijua ni kwamba haya mambo japo yanafanyika kisiri lakini yanafanywa na binaadamu wanaoweza kusalitiana na kugeukana

Enzi za Jk magazeti yalikua yanakuja na habari kama hii hii mamlaka zinapinga na mwisho wa siku kila kitu kinakuja kujulikana
Unaweza usiione stori imenyooka kwa sababu ya ufinyu wa taarifa za mtoa taarifa lakini kuna kitu kipo...... ndio maana ya kunusa madudu na kuyatibua

Hizi mentality zenu za kutaka evidence mkabana vyombo vya habari ndio zimezaa akina Kigogo na Mangekimambi ambao wanatoa madudu ya serikali na karibu yote yanakuja kuthibitika ni kweli

Nchi hii ina wapumbavu wengi sana na ndio maana tunaona sawa tu kuendeshwa kipumbavu
Rais anaumwa hoi halafu mtu kapata habari rais anaumwa na akasema rais anaumwa anaishia kukamtwa eti athibitishe rais anaumwa....... pumbavu
Haya sasa kafa ndio mnakuja kusema alikua anaumwa na aliyesema anaumwa bado anaozea jela..... haya ndio mnapenda?
 
Unakubali kua 'He went overboard' ila unatamani amwambie msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni ule ule.
 
ccm ni ukoo wa panya, baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, shangazi mwizi, mjomba mwizi. By former Mp for Arumeru (nassari)
 
Waliyomhoji ni nani ndo akatoa jibu hilo ? Maana tangu jana ameshikiliwa na anahojiwa na TAKUKURU.

Inawezekana kwa maelezo yako hapo, TAKUKURU tayari wametoa ripoti/habari hiyo kwenye Raia Mwema.

Maana investigative journalism (labda kama imebadilika sasa hivi) ni giving 2 sides of the story and based on facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…