Gazeti la sani la zamani

Gazeti la sani la zamani

Huyu jamaa alikuwa gazeti gani?
tapatalk_1569146580376.jpeg
 
Baba ubaya alikua anachorwa na Dr Levy kwenye gazeti la kiu..majarida yaliyotikisa enzi hizo ni..
1.SANI na VISA
2.TABASAMU NA BONGO..
Ila bongo ndo kiboko unakutana na kina Juakali,Bob Mazishi,Njomba nchumari,Naitwa kiokote na wengineo mwisho kabisa kunakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya BUSH STARS NA BORN TOWN kama vile kwenye gazeti la Bongo napo kulikua na mechi hii mwisho..mechi ya Bush stars na Born town ya Bongo nilikua namkubali Bob Mazishi alikua anacheza rafu kinoma halafu refa hata hampi kadi anamuogopa mechi ya SANI nilikua namkubali Mzee Meko na shati lake alienda hadi Real Madrid etií ½í¸í ½í¸ zamani raha sana siku hizi raha eti nikuangalia matako ya Menina na Amber Rutty analiwa ndogo
Hahaha Meko mzee wa kutofunga vishikizo vya shati!!
 
Niliwakubali sana,Chaliangu wa damu kabisa. Mtu m'badJuakali,Njomba Nchumali,Lodilofa na mashati yake makubwa kama yangu,Profesa Ndumilakubee,Mpiga maji na mwizi Sokomoko,Pimbi na Miission zake zisizotimia,Kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha.
 
Dah hivi kwa ulimwengu waa sasaa hawez kutokeaa muda akageuzaa wale jamaa kuaa vikatuni afu akawa anatengenezeaa vimovie..mf kipepe cartoonn..au mapungo..ingependzaa sn
 
Back
Top Bottom